The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
ha ha ha ndio yeye jina lake tofauti na mashairi yake, umesema tayari una TF maana yake nini?
Mimi nilimpataga my wife wangu mwenyewe kwa kumwandikia mistari ya hardcore hip hop 🙂
eti nini??
Nilikuwa napita tu:car::car:
ha ha ha basi we poa sana kuna jamaa huku juzi niliona thread moja hivi anashusha mashairi ngoja niitafute ile ni ku hook up nae
mmmh hiyo safi sana dear..
mimi bado napenda ile style ya zamani ya kutongozwa hahah lol
barua, poem/mashairi na vitu kama hivyo..
tena kwa lugha ya kiswahili ndo tamu zaidi lol
nilimaanisha niko na The Finest lol
Nilikuwa napita tu:car::car:
Kiswahili ngumu bana,you know whats up how you doin shawty, do you feel me, can i have your number so that me and you can hook sometime you know i love a down to earth chick like you...ha ha ha ha bongo nomaaa mazeee
umeshajaza zile paper lol
Klorokwin, Uporoto na Magulumangu wanasubiria majibu
hahahahhahaahhaah lol
ha ha ha safi sana huyo bonge namfahamu sana ni mtu mkarimu na mwema, hapo hujafanya kosa, na pledge 25 elfu tu, kwa harusi yenu
Mkuu Hongera Finest Afrodanzi
ha ha ha safi sana huyo bonge namfahamu sana ni mtu mkarimu na mwema, hapo hujafanya kosa, na pledge 25 elfu tu, kwa harusi yenu
Mkuu Hongera Finest Afrodanzi
ebu andika hiyo kitu kwa kiswahili naomba
hahahhah lol
Hajazi mtu hapa halafu wewe na voice of reason subiri utakuta dawa yako kwenye ile thread kule nikiwa sipo kumbe ndio zako
samahani mkuu sikuwa nafahamu wwe ndio mzee mwenyewe
Mimi Ni Nguli Jabali
Kui-translate kwa kiswahili ndiyo ishu sasa dah!!!
mmmhh vipi wewe umesahau na Pearl
kumbe unajua jinsi inavyouma aee..
na bado..
jaza hizo paper nazipitia..
hahahah lol
samahani mkuu sikuwa nafahamu wwe ndio mzee mwenyewe
pearl kafanya nn jamani?mm singo and not searching mbn hamnielewi?
aa mkuu sori man si unajua mambo ya haraka haraka upo job huku umezama fasta JF
nsharekebisha lakini