Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Ungeelewa anatokea sehemu gani hata usingepost. wanaume wa sehemu zingine hatupo hivyo.[emoji44] [emoji44] [emoji44] [emoji44]
Haahha sasa wewe unautani na akina Ngosha?
 
Haha mie mwenyewe mgEni ebu we we stunter mwaga sum zako usikute ndo wale wale
 
Yani nakuunga mkono kwa asilimia 100% coz imetoka kunitokea sasa ivi, kuna boy mmoja anaitongoza yani kanikera hatar hana tofaut kabisa na hy post, kwa kwel wanume warud shule
 
No sio wote wanakuwa wapo na mtu, bt anamua bora abk single kuliko kuwa na mtu kama hy
 
Yani nakuunga mkono kwa asilimia 100% coz imetoka kunitokea sasa ivi, kuna boy mmoja anaitongoza yani kanikera hatar hana tofaut kabisa na hy post, kwa kwel wanume warud shule
Three idiot mbona unamwaga siri zangu? Kama ulikuwa hunipendi si ungenambia tu kule kule inbox? Hahhaa
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] Kazi kwelikweli.
 
wat if huyo mkaka hana interest na huyo mdada.kwann unamfosi amwingize kingi?
 
Kuna alokuwa na wazo la kuanzisha chuo cha kijamii cha mapenzi angetoboa
 
Madada nao haawanaga story yaani anasubiri wewe tu umuulize kitu yeye aitikie, sasa kila ukitafuta point ya kuongea unaona haifai unabaki kuzunguka tu hapohapo kwenye salamu.
 
Mmawia mtafutieni ajira hapo "ufipa" huyu kijana maana kutwa nzima anawaza kuleta thread za ovyo tu.
 
Madada nao haawanaga story yaani anasubiri wewe tu umuulize kitu yeye aitikie, sasa kila ukitafuta point ya kuongea unaona haifai unabaki kuzunguka tu hapohapo kwenye salamu.
mkuu hiyo ni dalili mbaya... sizani kama kuna mtu ana interest na wewe akujibu kama ivo.... chunga heshima yako mkuu...kimbia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…