Hatari golini.Hatar
Nafikiri inabidi tukupe rai,hiyo siyo nzuri tafadhali.[emoji1] [emoji1] [emoji1]
okyNafikiri inabidi tukupe rai,hiyo siyo nzuri tafadhali.
Baby bora ya mie au vipi?,sina mambo ya wanakijiji au siyo?,hata wewe hukuchukia na ukanipa ushirikiano si haba.Asante kwa kuniwakilisha besty..yani izo salam ad zmenifanya nmekua mjeuri ckuiz
Oki doki Mkuu.
pmjOki doki Mkuu.
Daah Venossah unakumbuka hata mimi nilikuuliza hivo hivo,ukanijibu unakaa na wazazi we mtoto wa gate kali hahahaaaaaa ina maana na mimi ni wale wale washamba?Hili swali utadhani wanaigiliziana,
Mrembo,vipi zile zangu?,si ulisuuzika na roho yako mpaka ukananihii.Hahahahah pm zina mambooo si Mchezo
Sijambo shikamooShunie hujambo?
Kumbe ndo inavyokuaga mbona mm pm nimeifungaNiko poa sana, nimeanzisha salam ili nikija pm mengine yaendelee
Mamii ukianza kunipa shikamoo mademu watafikiri mimi buzi,maana siku hizi wazee wanapendwa sio mchezo,ati wanajua kubembeleza na hawasumbui kama wavulana na pia hawana wivu,basi na mimi sijambo mamii.Sijambo shikamoo
Hahahahaha noo baby wee haupo kabisa kwenye ilo kundi la wakali wa salam..ningeshakugawa tena bureeBaby bora ya mie au vipi?,sina mambo ya wanakijiji au siyo?,hata wewe hukuchukia na ukanipa ushirikiano si haba.
Fungua bhanaKumbe ndo inavyokuaga mbona mm pm nimeifunga
Hahahaa nashukuru umenisuuza roho yangu baby,maana nilijua leo ndio leo kijana naumbuka,maana ukikasirika unanimwaga hadharani kama hivi;" we Karanja ukome kuniandikia maneno meengo ya kipumbavu kama gazeti la kufungia vitumbua"Hahahahaha noo baby wee haupo kabisa kwenye ilo kundi la wakali wa salam..ningeshakugawa tena buree