Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Kama huko inbox mambo ndio haya, wanaume turudi shule

Wanaboa sana hawa watu, yaani cjui wakoje, sasa hv nimemblock mtu, jifunzeni kujieleza bhana, ukisema usimjibu unyamaze atakusalimia hata miaka 2 hachoki halafu kila siku
 
Asante kwa kuniwakilisha besty..yani izo salam ad zmenifanya nmekua mjeuri ckuiz
Baby bora ya mie au vipi?,sina mambo ya wanakijiji au siyo?,hata wewe hukuchukia na ukanipa ushirikiano si haba.
 
Aisee kweli JF kiboko....warembo wanalalamika hawatongozwi vizuri!!!!! Hii kali.
 
Sijambo shikamoo
Mamii ukianza kunipa shikamoo mademu watafikiri mimi buzi,maana siku hizi wazee wanapendwa sio mchezo,ati wanajua kubembeleza na hawasumbui kama wavulana na pia hawana wivu,basi na mimi sijambo mamii.
 
Baby bora ya mie au vipi?,sina mambo ya wanakijiji au siyo?,hata wewe hukuchukia na ukanipa ushirikiano si haba.
Hahahahaha noo baby wee haupo kabisa kwenye ilo kundi la wakali wa salam..ningeshakugawa tena buree
 
Hahahahaha noo baby wee haupo kabisa kwenye ilo kundi la wakali wa salam..ningeshakugawa tena buree
Hahahaa nashukuru umenisuuza roho yangu baby,maana nilijua leo ndio leo kijana naumbuka,maana ukikasirika unanimwaga hadharani kama hivi;" we Karanja ukome kuniandikia maneno meengo ya kipumbavu kama gazeti la kufungia vitumbua"
 
  • Thanks
Reactions: irk
Back
Top Bottom