Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Mbona nyingi sio za zamani
 
Yaani hii movie tulikuwa tunaiingalia utotoni, AWOL, nimekuja kujua miaka zaidi ya 20 baadae kwamba ni Absent Without Leave! Long live Van Dame!
Hiyo makitu ukiiangalia afu baadaye ukaangalia No retreat no surender... unajiona ushakuwa mtaalam wa kupambana na vibaka mtaani
 
ABOVE THE LAW ndo filamu yangu Kali kuliko zote kutoka ukanda wa Asia
 
Hiyo makitu ukiiangalia afu baadaye ukaangalia No retreat no surender... unajiona ushakuwa mtaalam wa kupambana na vibaka mtaani

Ha ha ha, kuna kitu cha King of the Kick Boxers, noma nilikuwa namwomba Mungu anipe hata nguvu za jambazi tu, maana nilikuwa naona kuwa star ni ngumu.

Kuna teke flan la kuzunguka kwenye hiyo movie nililifanyia mazoezi nikaangukia mkono, sitaki kukumbuka ile kitu mzee.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…