Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Hahahaha ngoja nisikuulize maana nimeshaelewa yaliyojiri...

Mimi kuna wakati Van Damme alitaka kusababisha nipasuke msamba... sitaki maswali
 
Hua nakaa nakumbuka 100 na 50 zangu zilizopotea ajili ya kwenda kuangalia video duuh karibia laki inafika. Inatakiwa nipewe tuzo tu kwa mpenz bora wa muvi Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…