Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Ha ha ha, kuna kitu cha King of the Kick Boxers, noma nilikuwa namwomba Mungu anipe hata nguvu za jambazi tu, maana nilikuwa naona kuwa star ni ngumu.

Kuna teke flan la kuzunguka kwenye hiyo movie nililifanyia mazoezi nikaangukia mkono, sitaki kukumbuka ile kitu mzee.

King-of-Kick-Boxers.jpg
King-of-Kick-Boxers.jpg
Hahahaha ngoja nisikuulize maana nimeshaelewa yaliyojiri...

Mimi kuna wakati Van Damme alitaka kusababisha nipasuke msamba... sitaki maswali
 
Hua nakaa nakumbuka 100 na 50 zangu zilizopotea ajili ya kwenda kuangalia video duuh karibia laki inafika. Inatakiwa nipewe tuzo tu kwa mpenz bora wa muvi Tz
 
Back
Top Bottom