Kama hukuwahi kuangalia hizi movie...

Aaah watevaa jiji la makonderrrr(kila nikikumbuka haka kamsemo nacheka halafu waliokuwa wanamsifia na kukataja ndio hao wamemkimbia hadi chamani)
Sometimes namuaminia kondoakta sometimes naona anapuyanga.. Hebu tumuache makonda na madereva wake maana siasa kwangu hazipiti kooni
 
HOME ALONE
BABY'S DAY OUT
SARAFINA
NERIA
BUTT MAN
ROBOCOPY
VILLAGE PASTOR
 
Aiseee kidonge cha asprin saa nyingine kinatumika badala ya panado. Wasalimie bana huko uendako
Aliyekimbia ni wewe... si mimi. Mi ntabanana hapahapa mpaka kieleweke. Mi ni king'ang'anizi kama kupe... kwa msemo wa kisasa tunasema kubashitika darisalama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…