Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Key ni feelings mkuu sio kukojoza, pesa n some other shiyt. Feelings grow and die like grass hio ndio deadly trick. Siku zikinyauka kwako jua zimechipua kwa mwenzio akihold kwako for longer ilihali hisia zimekata ni kinafiki tu. Usijione mwamba!!!

Wengi wanapigana hii vita kwa kutumia silaha ya pesa inasaidia kumfanya mwanamke aendelee kubaki kimwili tu ila kiakili na kihisia hayupo kwako. There is this other guy who is eating that cookie in stealth.
 
Hoja ya msingi ya mtoa mada,
What should be a best solution on this, kiukweli kuna mda ukifikia malengo unawaza "niendelee kujitesa ili iweje"

Hapo nafsi husema pumzika baba ,
 

That's very right mkuu. Demu X unapiga bao za kutosha na hukinai, daily unatamani umtafune. Demu Y unapiga bao moja na unamwambia vaa tusepe. ๐Ÿ˜Ž

-Kaveli-
 
โœ‹
 

Na possibly hata huyu mleta mada akawa anachapiwa mkewe vizuri tu in stealth mode. ๐Ÿ˜€

Shetani pale Eden, the first move ilikuwa ni kumrubuni mwanamke kwanza na ndiyo ikawa entry point to the man. Hapo ndipo ligi ilianzia... na men tukawa alerted kabisa kwamba "tuishi nao Kwa akili" na siyo Kwa kuwakojoza per se.

Sasa mwanaume aishi na mwanamke Kwa silaha ya eti 'kumkojoza' tu na arelax kwamba ashamweka chini ya Ulinzi, afu aje aone matukio atayogongeshwa! Mwisho wa picha ni kwenda kulilia chooni huku umeelekeza kichwa kibla na ku-pull the trigger. ๐Ÿ˜Ž

-Kaveli-
 
Using your brain kwangu mimi ni kutambua kwamba mwanamke anakuwa na mimi kipindi ana kiu na nikimpa maji ataendelea kuwepo kwangu.

Kiu yake inaweza kuisha kwangu na huenda akawa anakatwa kiu na mtu mwengine. Ishu ni kuweka mazingira sawa ili upate fursa ya kumkata kiu yake kwa muda mrefu zaidi huku ukitambua kwamba wewe sio alfa na omega eti kisa unamkata kiu.
 

Pinned and laminated!

Salut mkuu. ๐Ÿ˜Ž

-Kaveli-
 
Huu uongo unakuongezea Nini kwenye maisha yako mkuu?
Sasa uongo ni upi hapo mkuu?
Mimi sio muumini wa sex sana ila nikifanya nafanya kweli na sana. Na huwa nafanya na Ke nnaemuelewa sifanyagi tu ili mradi nimefanya.
 
nimecheka kwa nguvu, hakika kuna mambo mengi sana ya kufikiria na sio swala la kukojozwa,,,mimi ni Ke lakini naungana na wewe mkuu
Kwakwel ukiwa honest,ngono na hiz habar za kukojozana ni overated tu. Kuna mambo kiuhalisia huwa yanatufanya hatuwaz ngono kabisaaa. Sema ngono inakujankama starehe tu ya kutuliwaza๐Ÿ˜‚
 
Kwakwel ukiwa honest,ngono na hiz habar za kukojozana ni overated tu. Kuna mambo kiuhalisia huwa yanatufanya hatuwaz ngono kabisaaa. Sema ngono inakujankama starehe tu ya kutuliwaza๐Ÿ˜‚
umenena vyema mkuu, sex ni part of our life na kwa kweli ni kitu kizuri pia kwani inakufanya u relax mwili na akili endapo utaifurahia.
Ila sasa, inakuwa kipaumbele sana hasa kwa wale ambao hawako busy, ukiwa busy na ukafurahia ubusy wako ndivyo utatambua kuwa wanaofikiria sana wanahisi ndio kitu pekee kinachohitajika katika maisha ingali kuna mambo mengine tu ya muhimu katika maisha yenyewe ikiwa kama kibwagizo.

I love your akili mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ