Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #161
Wanawake wenyewe pesa wanatafuta.
Hao wanaosema Mwanamke mpe pesa ni vile hawajawahi KU-DATE na wanawake wenye vipato vikubwa kuwazidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake wenyewe pesa wanatafuta.
Uko sahihi kabisa mkuu.Hao wanaosema Mwanamke mpe pesa ni vile hawajawahi KU-DATE na wanawake wenye vipato vikubwa kuwazidi
Katafute takwimu za wanawake wanaofake orgasm.Aliyeandika ni mkojozaji.
Mbona wanasagana wanaridhishwajeKidole hakiwezi mridhisha Mwanamke . Ni sawa useme punyeto inauwezo wa kumridhisha mwanaume.
Unashangaa mtoa mada mkewe anapigwapigwa hovyo nje ya ndoa,hapo ndo uamini mapenzi hayana formula.Mwalimu wangu aliyenifundisha somo moja la saikolojia,nilishangaa naye anachapiwa,nikabaki nasema hiii baghosha.
Huyu mleta mada bado hajawajua hao viumbe. Amekariri tu.
Gadna alisema alimkojoza jide kwa miaka nane, na mpaka leo haelewi ni kwanini alipigwa kibuti. 😀
Kwamba eti ukimkojoza mwanamke ndipo atakuvumilia na kukupenda?!!!
Mapenzi hayanaga formula. Pia, mwanamke ni undefined. 😎
-Kaveli-
Katafute takwimu za wanawake wanaofake orgasm.
Kuna uwezekano mkubwa nyoka akafanya dry bite kuliko wewe kuweza kumkojolesha mwanamke
nimecheka kwa nguvu, hakika kuna mambo mengi sana ya kufikiria na sio swala la kukojozwa,,,mimi ni Ke lakini naungana na wewe mkuuHata hakuna sir za wao kututunzia..
Kama ni siri ya kutowafikisha kileleni hiyo hata sio siri mbona. Tuma mambo menginya muhim kuzingatia sio ujinga wa kufikisha kilelen.
Toka niku jue, leo ndo Ume ongea point muhimu.Hata hakuna sir za wao kututunzia..
Kama ni siri ya kutowafikisha kileleni hiyo hata sio siri mbona. Tuma mambo menginya muhim kuzingatia sio ujinga wa kufikisha kilelen.
Huu uongo unakuongezea Nini kwenye maisha yako mkuu?Tatizo sijawai kulala na ke alafu asifike
hata kusikia tu harufu ya umpendaye tunakua tushalegea ..Mwanamke akikupenda hawezi ku-fake wapi mnakwama?
Point ya Mwaka hi, tuna mengi ya kuzingatia.Kila penye 'General Rule'... kuna 'exception'. 😎
By the way, sex is overrated in Africa.
-Kaveli-
Mtu amelala kama gogo unahangaika kumridhisha mwisho wa siku upasuke msamba.
1. Haya mambo huwa naona kama yako 'two-way traffick'Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi kuvumilia mwanaume asiyemkojoza.
Mlishe Dagaa, atavumilia. Mlishe tembele, atavumilia na familia itakuwa na furaha ikiwa tuu unamfikisha Kilimanjaro.
Ndio maana kwa mwanaume, mambo yafuatayo lazima uyalinde sana kwa gharama yoyote katika maisha yako;
1. Uhai wako
2. Akili yako
3. Nguvu zako za kiume
4. Uchumi wako
Chochote hapo kikiathirika basi maisha ya mwanaume yapo katika anguko. Furaha yako ipo mashakani.
Elewa kuwa Mwanamke yupo huru zaidi kwa mtu anayemkojoza. Yaani huyo atamuambia chochote na anaweza kufanya lolote kwaajili yake. Mwanamke anaweza akakufichia siri zako ikiwa unajua zake (unamkojoza). Kumkojoza Mwanamke ni kumjua, kujua udhaifu wake. Kwani atasema yote.
Mwanamke kama humkojozi basi elewa kuwa zipo siri nyingi anakuficha na kadiri Mwanamke anavyoficha siri zake ndivyo anavyotoa zako, na kadiri unavyozijua siri za Mwanamke ndivyo anavyozidi kuficha siri zako.
Taikon nasema, Siri za mkeo ukizijua basi elewa kuwa siri zako zipo salama.
Mwanamke hawezi kumdharau mtu anayejua siri zake tena zile kalikali. Hiyo sio kwao tuu bali hata wewe mwanaume. Huwezi mdharau mtu anayejua siri zako. Lazima heshima itatamalaki upende usipende.
Ukiwa humkojozi mkeo au mwanamke elewa kuwa siri zako zote zipo mashakani. Watu mtaani wote wanakujua kuliko unavyofikiria. Huko Ukweni ndio kabisa. Wanakujua mpaka basi. Ndio maana wanaume wasiokojoza wake zao wanawoga kupitiliza huko Ukweni. Wanaogopa vikao kama kitu gani. Nani yupo tayari siri zake zitolewe bhana!
Asije akakudanganya mtu kuwa wanawake hawana siri. Wanazo tena siri zao ni zile kubwa kubwa, lakini ni ukweli kuwa wanawake huwa hawana siri kwa watu wasio na siri zao. Yaani kama Mwanamke huna siri zake basi usimwambie zako. Kama hujui zake basi asijue zako.
Elewa kuwa wanawake wanakiherehere na waropokaji kwa wanaume wanaowapenda sana au wale wanaowakojoza. Elewa kuwa Mwanamke haumii akiachana na mwanaume ambaye hamkojozi. Haumii zaidi ya kuwa amepata ushindi na yeye ndiye mshindi kwa sababu siri za udhaifu wako kazishikilia.
Mwanamke hawezi kuwa king'ang'anizi kwa mwanaume asiyemkojoza, lakini huwa ving'ang'anizi mno kwa watu wanaowakojoza, na wivu wao huwa ni mkali mno.
Mwanamke kama humkojozi sio ajabu akawa anakutishia kila mara muachane, au kila mara kuondoka na kwenda kwao na anajua lazima utamfuata tuu, lakini kama unamkojoza hawezi kuthubutu kufanya kosa la kiufundi kama hilo, na kama atafanya basi utapiga simu moja na kumwambia unampa masaa 48 awe amerudi nyumbani, na atarudi.
Mwanamke kama humkojozi lazima umpigie magoti kila ukikosea na hata akikosea wewe ndio utaomba msamaha, lakini ukimkojoza hata ukimkosea yeye ndiye atakuwa anajiliza huku akitaka tuu umbembeleze na atakuomba msamaha.
Hakuna kitu Mwanamke anapenda na anakilinda kwa nguvu zote kama;
1. Uzuri wake
2. Hisia zake
3. Raha na utamu wake
4. M/Watoto wake.
Wewe tafuta pesa utakavyotafuta, fanya utakavyofanya lakini elewa kuwa kwa mwanamke jambo lake kubwa utakalomfanyi akakuheshimu na kukupa moyo wake wote ni kumkojoza tu!
Taikon acha nipumzike sasa.
Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
1. Haya mambo huwa naona kama yako 'two-way traffick'
2. Mwanamke asiyemtosheleza mume wake vipi?
3. Haya mambo yanahitaji 'good understanding' ya kila mwanandoa kwa mwenzake maana tatizo linaweza kuanza kwa mmoja na likaja pia kwa mwingine.
4. Na katika maisha ndivyo ilivyo (it's either or).
Haya asntee kwa mchango wako