Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Inaonesha unaendeshwa Sana na wanawake ukishatambua dhamani Yako huwezi kujisumbua kumridhisha mwanamke.Swali tu mbona wao Huwa wanalala tu kama magogo??????
 
Hata ufanye jitihada kiasi Gani, hakuna namna ya kuweza kumfanya mwanamke aridhike ikiwa hayuko tayari kwa ilo. Hata hao unaowaona wametulia, sio kwamba wanaridhishwa, bali wameamua tu kutulia.

Na katika hii Dunia, satisfaction is myth. People will always want more.
One of the best comment ever...yaani mwanamke akiamua mwenyewe kiridhika ...kidole TU kinatosha kumkojolesha ..sio hizo mbwembwe zingine
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi kuvumilia mwanaume asiyemkojoza.

Mlishe Dagaa, atavumilia. Mlishe tembele, atavumilia na familia itakuwa na furaha ikiwa tuu unamfikisha Kilimanjaro.

Ndio maana kwa mwanaume, mambo yafuatayo lazima uyalinde sana kwa gharama yoyote katika maisha yako;
1. Uhai wako
2. Akili yako
3. Nguvu zako za kiume
4. Uchumi wako

Chochote hapo kikiathirika basi maisha ya mwanaume yapo katika anguko. Furaha yako ipo mashakani.

Elewa kuwa Mwanamke yupo huru zaidi kwa mtu anayemkojoza. Yaani huyo atamuambia chochote na anaweza kufanya lolote kwaajili yake. Mwanamke anaweza akakufichia siri zako ikiwa unajua zake (unamkojoza). Kumkojoza Mwanamke ni kumjua, kujua udhaifu wake. Kwani atasema yote.

Mwanamke kama humkojozi basi elewa kuwa zipo siri nyingi anakuficha na kadiri Mwanamke anavyoficha siri zake ndivyo anavyotoa zako, na kadiri unavyozijua siri za Mwanamke ndivyo anavyozidi kuficha siri zako.

Taikon nasema, Siri za mkeo ukizijua basi elewa kuwa siri zako zipo salama.

Mwanamke hawezi kumdharau mtu anayejua siri zake tena zile kalikali. Hiyo sio kwao tuu bali hata wewe mwanaume. Huwezi mdharau mtu anayejua siri zako. Lazima heshima itatamalaki upende usipende.

Ukiwa humkojozi mkeo au mwanamke elewa kuwa siri zako zote zipo mashakani. Watu mtaani wote wanakujua kuliko unavyofikiria. Huko Ukweni ndio kabisa. Wanakujua mpaka basi. Ndio maana wanaume wasiokojoza wake zao wanawoga kupitiliza huko Ukweni. Wanaogopa vikao kama kitu gani. Nani yupo tayari siri zake zitolewe bhana!

Asije akakudanganya mtu kuwa wanawake hawana siri. Wanazo tena siri zao ni zile kubwa kubwa, lakini ni ukweli kuwa wanawake huwa hawana siri kwa watu wasio na siri zao. Yaani kama Mwanamke huna siri zake basi usimwambie zako. Kama hujui zake basi asijue zako.

Elewa kuwa wanawake wanakiherehere na waropokaji kwa wanaume wanaowapenda sana au wale wanaowakojoza. Elewa kuwa Mwanamke haumii akiachana na mwanaume ambaye hamkojozi. Haumii zaidi ya kuwa amepata ushindi na yeye ndiye mshindi kwa sababu siri za udhaifu wako kazishikilia.

Mwanamke hawezi kuwa king'ang'anizi kwa mwanaume asiyemkojoza, lakini huwa ving'ang'anizi mno kwa watu wanaowakojoza, na wivu wao huwa ni mkali mno.

Mwanamke kama humkojozi sio ajabu akawa anakutishia kila mara muachane, au kila mara kuondoka na kwenda kwao na anajua lazima utamfuata tuu, lakini kama unamkojoza hawezi kuthubutu kufanya kosa la kiufundi kama hilo, na kama atafanya basi utapiga simu moja na kumwambia unampa masaa 48 awe amerudi nyumbani, na atarudi.

Mwanamke kama humkojozi lazima umpigie magoti kila ukikosea na hata akikosea wewe ndio utaomba msamaha, lakini ukimkojoza hata ukimkosea yeye ndiye atakuwa anajiliza huku akitaka tuu umbembeleze na atakuomba msamaha.

Hakuna kitu Mwanamke anapenda na anakilinda kwa nguvu zote kama;
1. Uzuri wake
2. Hisia zake
3. Raha na utamu wake
4. M/Watoto wake.

Wewe tafuta pesa utakavyotafuta, fanya utakavyofanya lakini elewa kuwa kwa mwanamke jambo lake kubwa utakalomfanyi akakuheshimu na kukupa moyo wake wote ni kumkojoza tu!

Taikon acha nipumzike sasa.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
KIZAZI HIKI MNAHANGAIKA SANA NA MAMBO MADOGO. SISI MIAKA YETU TULIKUWA HATA KUZUNGUMZIA HILI JAMBO TUNAONA NI UPUUZI SABABU NI SAWA NA KUZUNGUMZIA KWA KIREFU SUALA LA SAMAKI KUTOWEZA KUOGELEA. YAANI IKAWA NI ISSUE KUBWA . NINYI MNAPOTEZA MUDA SANA KWA MAMBO HAYA. UANAUME NI SUALA MTAMBUKA SANA NA KUHANGAIKA NA KU MPLEASE MWANAMKE NI KUCHOSHA AKILI. UTAMFIKISHA KILELENI ATAENDA KULIWA SABABU KUNA MTU ANAONEKANA ANA MJALI SANA AU ANA PESA SANA ZAIDI YAKO. AU ANA HURUMA SANA, AU ANA UPENDO SANA, AUA ILITOKEA TU..... FANYENI KAZI VIJANA.
 
Unashangaa mtoa mada mkewe anapigwapigwa hovyo nje ya ndoa,hapo ndo uamini mapenzi hayana formula.Mwalimu wangu aliyenifundisha somo moja la saikolojia,nilishangaa naye anachapiwa,nikabaki nasema hiii baghosha.
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi kuvumilia mwanaume asiyemkojoza.

Mlishe Dagaa, atavumilia. Mlishe tembele, atavumilia na familia itakuwa na furaha ikiwa tuu unamfikisha Kilimanjaro.

Ndio maana kwa mwanaume, mambo yafuatayo lazima uyalinde sana kwa gharama yoyote katika maisha yako;
1. Uhai wako
2. Akili yako
3. Nguvu zako za kiume
4. Uchumi wako

Chochote hapo kikiathirika basi maisha ya mwanaume yapo katika anguko. Furaha yako ipo mashakani.

Elewa kuwa Mwanamke yupo huru zaidi kwa mtu anayemkojoza. Yaani huyo atamuambia chochote na anaweza kufanya lolote kwaajili yake. Mwanamke anaweza akakufichia siri zako ikiwa unajua zake (unamkojoza). Kumkojoza Mwanamke ni kumjua, kujua udhaifu wake. Kwani atasema yote.

Mwanamke kama humkojozi basi elewa kuwa zipo siri nyingi anakuficha na kadiri Mwanamke anavyoficha siri zake ndivyo anavyotoa zako, na kadiri unavyozijua siri za Mwanamke ndivyo anavyozidi kuficha siri zako.

Taikon nasema, Siri za mkeo ukizijua basi elewa kuwa siri zako zipo salama.

Mwanamke hawezi kumdharau mtu anayejua siri zake tena zile kalikali. Hiyo sio kwao tuu bali hata wewe mwanaume. Huwezi mdharau mtu anayejua siri zako. Lazima heshima itatamalaki upende usipende.

Ukiwa humkojozi mkeo au mwanamke elewa kuwa siri zako zote zipo mashakani. Watu mtaani wote wanakujua kuliko unavyofikiria. Huko Ukweni ndio kabisa. Wanakujua mpaka basi. Ndio maana wanaume wasiokojoza wake zao wanawoga kupitiliza huko Ukweni. Wanaogopa vikao kama kitu gani. Nani yupo tayari siri zake zitolewe bhana!

Asije akakudanganya mtu kuwa wanawake hawana siri. Wanazo tena siri zao ni zile kubwa kubwa, lakini ni ukweli kuwa wanawake huwa hawana siri kwa watu wasio na siri zao. Yaani kama Mwanamke huna siri zake basi usimwambie zako. Kama hujui zake basi asijue zako.

Elewa kuwa wanawake wanakiherehere na waropokaji kwa wanaume wanaowapenda sana au wale wanaowakojoza. Elewa kuwa Mwanamke haumii akiachana na mwanaume ambaye hamkojozi. Haumii zaidi ya kuwa amepata ushindi na yeye ndiye mshindi kwa sababu siri za udhaifu wako kazishikilia.

Mwanamke hawezi kuwa king'ang'anizi kwa mwanaume asiyemkojoza, lakini huwa ving'ang'anizi mno kwa watu wanaowakojoza, na wivu wao huwa ni mkali mno.

Mwanamke kama humkojozi sio ajabu akawa anakutishia kila mara muachane, au kila mara kuondoka na kwenda kwao na anajua lazima utamfuata tuu, lakini kama unamkojoza hawezi kuthubutu kufanya kosa la kiufundi kama hilo, na kama atafanya basi utapiga simu moja na kumwambia unampa masaa 48 awe amerudi nyumbani, na atarudi.

Mwanamke kama humkojozi lazima umpigie magoti kila ukikosea na hata akikosea wewe ndio utaomba msamaha, lakini ukimkojoza hata ukimkosea yeye ndiye atakuwa anajiliza huku akitaka tuu umbembeleze na atakuomba msamaha.

Hakuna kitu Mwanamke anapenda na anakilinda kwa nguvu zote kama;
1. Uzuri wake
2. Hisia zake
3. Raha na utamu wake
4. M/Watoto wake.

Wewe tafuta pesa utakavyotafuta, fanya utakavyofanya lakini elewa kuwa kwa mwanamke jambo lake kubwa utakalomfanyi akakuheshimu na kukupa moyo wake wote ni kumkojoza tu!

Taikon acha nipumzike sasa.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
hakuna kitu chema unaweza fanya kwa mwanamke akakuona mwamba hasa wakati huu wa gigy generation...TUSIPONZANE,mwanamke ni sawa na Andazi tu
 
Hivi kuna wanaume huwa wanashindwa kuwafanya hivyo wapenzi/wake zao?
Labda kama upo kwenye mahusiano na mwanamke asie na hisia zozote na wewe unalazimisha mapenzi kwa kupitia udhaifu wake pengine unamtatulia shida zake kwasababu una pesa
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi kuvumilia mwanaume asiyemkojoza.

Mlishe Dagaa, atavumilia. Mlishe tembele, atavumilia na familia itakuwa na furaha ikiwa tuu unamfikisha Kilimanjaro.

Ndio maana kwa mwanaume, mambo yafuatayo lazima uyalinde sana kwa gharama yoyote katika maisha yako;
1. Uhai wako
2. Akili yako
3. Nguvu zako za kiume
4. Uchumi wako

Chochote hapo kikiathirika basi maisha ya mwanaume yapo katika anguko. Furaha yako ipo mashakani.

Elewa kuwa Mwanamke yupo huru zaidi kwa mtu anayemkojoza. Yaani huyo atamuambia chochote na anaweza kufanya lolote kwaajili yake. Mwanamke anaweza akakufichia siri zako ikiwa unajua zake (unamkojoza). Kumkojoza Mwanamke ni kumjua, kujua udhaifu wake. Kwani atasema yote.

Mwanamke kama humkojozi basi elewa kuwa zipo siri nyingi anakuficha na kadiri Mwanamke anavyoficha siri zake ndivyo anavyotoa zako, na kadiri unavyozijua siri za Mwanamke ndivyo anavyozidi kuficha siri zako.

Taikon nasema, Siri za mkeo ukizijua basi elewa kuwa siri zako zipo salama.

Mwanamke hawezi kumdharau mtu anayejua siri zake tena zile kalikali. Hiyo sio kwao tuu bali hata wewe mwanaume. Huwezi mdharau mtu anayejua siri zako. Lazima heshima itatamalaki upende usipende.

Ukiwa humkojozi mkeo au mwanamke elewa kuwa siri zako zote zipo mashakani. Watu mtaani wote wanakujua kuliko unavyofikiria. Huko Ukweni ndio kabisa. Wanakujua mpaka basi. Ndio maana wanaume wasiokojoza wake zao wanawoga kupitiliza huko Ukweni. Wanaogopa vikao kama kitu gani. Nani yupo tayari siri zake zitolewe bhana!

Asije akakudanganya mtu kuwa wanawake hawana siri. Wanazo tena siri zao ni zile kubwa kubwa, lakini ni ukweli kuwa wanawake huwa hawana siri kwa watu wasio na siri zao. Yaani kama Mwanamke huna siri zake basi usimwambie zako. Kama hujui zake basi asijue zako.

Elewa kuwa wanawake wanakiherehere na waropokaji kwa wanaume wanaowapenda sana au wale wanaowakojoza. Elewa kuwa Mwanamke haumii akiachana na mwanaume ambaye hamkojozi. Haumii zaidi ya kuwa amepata ushindi na yeye ndiye mshindi kwa sababu siri za udhaifu wako kazishikilia.

Mwanamke hawezi kuwa king'ang'anizi kwa mwanaume asiyemkojoza, lakini huwa ving'ang'anizi mno kwa watu wanaowakojoza, na wivu wao huwa ni mkali mno.

Mwanamke kama humkojozi sio ajabu akawa anakutishia kila mara muachane, au kila mara kuondoka na kwenda kwao na anajua lazima utamfuata tuu, lakini kama unamkojoza hawezi kuthubutu kufanya kosa la kiufundi kama hilo, na kama atafanya basi utapiga simu moja na kumwambia unampa masaa 48 awe amerudi nyumbani, na atarudi.

Mwanamke kama humkojozi lazima umpigie magoti kila ukikosea na hata akikosea wewe ndio utaomba msamaha, lakini ukimkojoza hata ukimkosea yeye ndiye atakuwa anajiliza huku akitaka tuu umbembeleze na atakuomba msamaha.

Hakuna kitu Mwanamke anapenda na anakilinda kwa nguvu zote kama;
1. Uzuri wake
2. Hisia zake
3. Raha na utamu wake
4. M/Watoto wake.

Wewe tafuta pesa utakavyotafuta, fanya utakavyofanya lakini elewa kuwa kwa mwanamke jambo lake kubwa utakalomfanyi akakuheshimu na kukupa moyo wake wote ni kumkojoza tu!

Taikon acha nipumzike sasa.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Wanaume tuna kazi jamani, kwa hiyo na kwenye kukojoa huko, viti maalum vinatakiwa. Huko kila mmoja apambane, tutawapakia mkongo mkimbie familia shauri zenu.
 
Kukojozwa kutamu jamani..... Uwwwiii🤣
 
Back
Top Bottom