Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Hizi mambo za kutiwa hovyohovyo ndio zinafanya waanze kulinganisha shoo za wanaume waliompitia

Yawezakuwa.
Lakini kwa wanawake niliowafanyia utafiti wengi wao wapenzi wao wa mwanzo waliwarubuni.
Na wanawake wanakuwaga waaminifu kwenye penzi la kwanza kuliko yanayofuatia.
Wakishaumizwa ndio wanatiwa ganzi
 
Nimejikuta natetemeka ...hehee .naogopa kucomment mie ..humu jf anayewajua wanawake ni wewe no 1!umelenga kwenye mshono..subiria povu....!

nb..ongeleeni yoote ila kukojozwa msipaguse✋..comment yangu isiguswe nna maana yangu .

Ngariba1 nakusalimia😊
Nimekusoma
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi kuvumilia mwanaume asiyemkojoza.

Mlishe Dagaa, atavumilia. Mlishe tembele, atavumilia na familia itakuwa na furaha ikiwa tuu unamfikisha Kilimanjaro.

Ndio maana kwa mwanaume, mambo yafuatayo lazima uyalinde sana kwa gharama yoyote katika maisha yako;
1. Uhai wako
2. Akili yako
3. Nguvu zako za kiume
4. Uchumi wako

Chochote hapo kikiathirika basi maisha ya mwanaume yapo katika anguko. Furaha yako ipo mashakani.

Elewa kuwa Mwanamke yupo huru zaidi kwa mtu anayemkojoza. Yaani huyo atamuambia chochote na anaweza kufanya lolote kwaajili yake. Mwanamke anaweza akakufichia siri zako ikiwa unajua zake (unamkojoza). Kumkojoza Mwanamke ni kumjua, kujua udhaifu wake. Kwani atasema yote.

Mwanamke kama humkojozi basi elewa kuwa zipo siri nyingi anakuficha na kadiri Mwanamke anavyoficha siri zake ndivyo anavyotoa zako, na kadiri unavyozijua siri za Mwanamke ndivyo anavyozidi kuficha siri zako.

Taikon nasema, Siri za mkeo ukizijua basi elewa kuwa siri zako zipo salama.

Mwanamke hawezi kumdharau mtu anayejua siri zake tena zile kalikali. Hiyo sio kwao tuu bali hata wewe mwanaume. Huwezi mdharau mtu anayejua siri zako. Lazima heshima itatamalaki upende usipende.

Ukiwa humkojozi mkeo au mwanamke elewa kuwa siri zako zote zipo mashakani. Watu mtaani wote wanakujua kuliko unavyofikiria. Huko Ukweni ndio kabisa. Wanakujua mpaka basi. Ndio maana wanaume wasiokojoza wake zao wanawoga kupitiliza huko Ukweni. Wanaogopa vikao kama kitu gani. Nani yupo tayari siri zake zitolewe bhana!

Asije akakudanganya mtu kuwa wanawake hawana siri. Wanazo tena siri zao ni zile kubwa kubwa, lakini ni ukweli kuwa wanawake huwa hawana siri kwa watu wasio na siri zao. Yaani kama Mwanamke huna siri zake basi usimwambie zako. Kama hujui zake basi asijue zako.

Elewa kuwa wanawake wanakiherehere na waropokaji kwa wanaume wanaowapenda sana au wale wanaowakojoza. Elewa kuwa Mwanamke haumii akiachana na mwanaume ambaye hamkojozi. Haumii zaidi ya kuwa amepata ushindi na yeye ndiye mshindi kwa sababu siri za udhaifu wako kazishikilia.

Mwanamke hawezi kuwa king'ang'anizi kwa mwanaume asiyemkojoza, lakini huwa ving'ang'anizi mno kwa watu wanaowakojoza, na wivu wao huwa ni mkali mno.

Mwanamke kama humkojozi sio ajabu akawa anakutishia kila mara muachane, au kila mara kuondoka na kwenda kwao na anajua lazima utamfuata tuu, lakini kama unamkojoza hawezi kuthubutu kufanya kosa la kiufundi kama hilo, na kama atafanya basi utapiga simu moja na kumwambia unampa masaa 48 awe amerudi nyumbani, na atarudi.

Mwanamke kama humkojozi lazima umpigie magoti kila ukikosea na hata akikosea wewe ndio utaomba msamaha, lakini ukimkojoza hata ukimkosea yeye ndiye atakuwa anajiliza huku akitaka tuu umbembeleze na atakuomba msamaha.

Hakuna kitu Mwanamke anapenda na anakilinda kwa nguvu zote kama;
1. Uzuri wake
2. Hisia zake
3. Raha na utamu wake
4. M/Watoto wake.

Wewe tafuta pesa utakavyotafuta, fanya utakavyofanya lakini elewa kuwa kwa mwanamke jambo lake kubwa utakalomfanyi akakuheshimu na kukupa moyo wake wote ni kumkojoza tu!

Taikon acha nipumzike sasa.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Endelea kumkojoza kwa speed ya 4G, akikubadlikia hutajua wapi umekosea na utabaki kuokota makopo

Kuna mwanamke hayupo na mmewe hua anakili mume alkua mpiga kazi hasa, tena chuma cha kikoloni lakin napozungumz apa mapadre na wazee wengine wa jadi na hata wale wa kanisa hakuna aliefua dafu ktk kuinusuru ndoa ile

Binafsi nshasema, mwanamke akizingua anasepa nnaanza upya.
 
Endelea kumkojoza kwa speed ya 4G, akikubadlikia hutajua wapi umekosea na utabaki kuokota makopo

Kuna mwanamke hayupo na mmewe hua anakili mume alkua mpiga kazi hasa, tena chuma cha kikoloni lakin napozungumz apa mapadre na wazee wengine wa jadi na hata wale wa kanisa hakuna aliefua dafu ktk kuinusuru ndoa ile

Binafsi nshasema, mwanamke akizingua anasepa nnaanza upya.

Ulitaka asemeje?
Watoto wa siku hizi muwe mnajiongeza.
Kwa hiyo ulitaka aseme kuwa mumewe alikuwa sio mpiga show mzuri?

Hivi ni lini mtatumia akili zenu vizuri?

Alafu hakuna kitu kigumu kama mwanaume asiyeweza kukojoza kuanzisha mahusiano mapya.
Ni kumuomba tuu Mungu yasikukute
 
Hata ufanye jitihada kiasi Gani, hakuna namna ya kuweza kumfanya mwanamke aridhike ikiwa hayuko tayari kwa ilo. Hata hao unaowaona wametulia, sio kwamba wanaridhishwa, bali wameamua tu kutulia.

Na katika hii Dunia, satisfaction is myth. People will always want more.
Pinned🤝👊
 
Taikon leo umetisha,sijaziona vya kutosha figurative uses of language.Kwa uzito wa ujumbe wako wa leo,tamathali za semi zikiwemo sitiali na tashbiha hazikuhitajika kabisa sababu kukojozwa ni suala mtambuka la maendeleo ya taifa.Siku nyingine hili la wanaume wanaopigwa na wake zao nalo ukaliangalie
 
Back
Top Bottom