Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Heading imezungumzia kukojozwa na kutunziwa siri, ila content za Uzi umegusia vingi.

Na kama hiyo ndio factor kubwa, mara ngapi mahusiano yanavunjika sababu ya hela?

Hela haivunji mahusiano mkuu.
Hizo ni hadithi tuu.

Mwanamke ukimkojoza mahusiano kuyavunja utayavunja wewe(mwanaume).
 
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Linapokuja swala la kukojozwa Mwanamke hana huruma na wewe. Hawezi kuwa mvumilivu tena. Mwanamke anaweza kuvumilia matatizo yote duniani lakini kamwe hawezi kuvumilia mwanaume asiyemkojoza.

Mlishe Dagaa, atavumilia. Mlishe tembele, atavumilia na familia itakuwa na furaha ikiwa tuu unamfikisha Kilimanjaro.

Ndio maana kwa mwanaume, mambo yafuatayo lazima uyalinde sana kwa gharama yoyote katika maisha yako;
1. Uhai wako
2. Akili yako
3. Nguvu zako za kiume
4. Uchumi wako

Chochote hapo kikiathirika basi maisha ya mwanaume yapo katika anguko. Furaha yako ipo mashakani.

Elewa kuwa Mwanamke yupo huru zaidi kwa mtu anayemkojoza. Yaani huyo atamuambia chochote na anaweza kufanya lolote kwaajili yake. Mwanamke anaweza akakufichia siri zako ikiwa unajua zake (unamkojoza). Kumkojoza Mwanamke ni kumjua, kujua udhaifu wake. Kwani atasema yote.

Mwanamke kama humkojozi basi elewa kuwa zipo siri nyingi anakuficha na kadiri Mwanamke anavyoficha siri zake ndivyo anavyotoa zako, na kadiri unavyozijua siri za Mwanamke ndivyo anavyozidi kuficha siri zako.

Taikon nasema, Siri za mkeo ukizijua basi elewa kuwa siri zako zipo salama.

Mwanamke hawezi kumdharau mtu anayejua siri zake tena zile kalikali. Hiyo sio kwao tuu bali hata wewe mwanaume. Huwezi mdharau mtu anayejua siri zako. Lazima heshima itatamalaki upende usipende.

Ukiwa humkojozi mkeo au mwanamke elewa kuwa siri zako zote zipo mashakani. Watu mtaani wote wanakujua kuliko unavyofikiria. Huko Ukweni ndio kabisa. Wanakujua mpaka basi. Ndio maana wanaume wasiokojoza wake zao wanawoga kupitiliza huko Ukweni. Wanaogopa vikao kama kitu gani. Nani yupo tayari siri zake zitolewe bhana!

Asije akakudanganya mtu kuwa wanawake hawana siri. Wanazo tena siri zao ni zile kubwa kubwa, lakini ni ukweli kuwa wanawake huwa hawana siri kwa watu wasio na siri zao. Yaani kama Mwanamke huna siri zake basi usimwambie zako. Kama hujui zake basi asijue zako.

Elewa kuwa wanawake wanakiherehere na waropokaji kwa wanaume wanaowapenda sana au wale wanaowakojoza. Elewa kuwa Mwanamke haumii akiachana na mwanaume ambaye hamkojozi. Haumii zaidi ya kuwa amepata ushindi na yeye ndiye mshindi kwa sababu siri za udhaifu wako kazishikilia.

Mwanamke hawezi kuwa king'ang'anizi kwa mwanaume asiyemkojoza, lakini huwa ving'ang'anizi mno kwa watu wanaowakojoza, na wivu wao huwa ni mkali mno.

Mwanamke kama humkojozi sio ajabu akawa anakutishia kila mara muachane, au kila mara kuondoka na kwenda kwao na anajua lazima utamfuata tuu, lakini kama unamkojoza hawezi kuthubutu kufanya kosa la kiufundi kama hilo, na kama atafanya basi utapiga simu moja na kumwambia unampa masaa 48 awe amerudi nyumbani, na atarudi.

Mwanamke kama humkojozi lazima umpigie magoti kila ukikosea na hata akikosea wewe ndio utaomba msamaha, lakini ukimkojoza hata ukimkosea yeye ndiye atakuwa anajiliza huku akitaka tuu umbembeleze na atakuomba msamaha.

Hakuna kitu Mwanamke anapenda na anakilinda kwa nguvu zote kama;
1. Uzuri wake
2. Hisia zake
3. Raha na utamu wake
4. M/Watoto wake.

Wewe tafuta pesa utakavyotafuta, fanya utakavyofanya lakini elewa kuwa kwa mwanamke jambo lake kubwa utakalomfanyi akakuheshimu na kukupa moyo wake wote ni kumkojoza tu!

Taikon acha nipumzike sasa.

Robert Heriel,
Taikon wa Fasihi,
Kwa sasa Dar es Salaam.
Ngoja tutafute pesa kwanza harafu Hilo la kukojoza litafuta baadae
 
.
Umefanyia research au unaongea tu.

Unadhani wanawake wote waliotulia wanafikishwa hasa kwa zama hizi ambazo, unaoa while unalinganishwa performance hata na wanaume watano!!

Na unadhani ndoa zote hizi mjini watu wanakiwasha lie ile kama wapo kwenye uchumba !!

Na kingine kama unawaelewa binadamu hakuna kitu kama general rule. Kitu unachokiona hakiwezekani kwa wenzio kinawezekana

MWANAMKE kama hakojozwi hawezi kutulia mbona mnadanganywa sana mkuu.
Au kutulia unazungumzia nini?

Kukiwasha kwa Mwanamke sio lazima upige ile nganganga. Wengi mnafeli hapo.
Mapenzi ni hisia kwa upande wa wanawake. Ili akojoe lazima awe na hisia na wewe na aamue.

General rules zipo ila ndani yake kuna Exceptional ambao ni wachache
 
Huu ni ugonjwa mpya wa akili wataalamu toeni elimu, mgonjwa anawaza ngono tu, ngono asbh, ngono mchana, ngono ngono, akiwa kazini ngono, kanisani na msikitini ngono, msibani ngono, ugenini nyumban ngono, shuleni kazini ngono, ngono tu na mazagazaga yake kama haya ya mtoa mada, anawaza ngono kuliko kujiwazia hata yeye mwenyew ataishi vipi, atakula nini, atalala wapi, hawazi ndugu zake wala majirani zake, hawazi kesho wala keshokutwa, hawazi utajiri wake ataulindaje wala umasikini wake ataushindaje, hawazi kumsaidia mhitaji wa kupambana na adui zake, hawazi pepo wala jehanamu, anaweza ngono....tatizo kubwa zaidi mgonjwa wa ugonjwa huu anajiona ni mzima na hana tatizo lolote, siku ukiona kajitambua kuwa ni mgonjwa ujue amepona....magonjwa ya akili yote likiwepo na hili hayaponi kwa sangoma wala kwa maombi, yanatibiwa hospitali, tusimwangushe raisi Samia, amejenga hospitali kila mahali, hima twendeni tukapate tiba, dawa zipo, tupone, tujenge nchi.
 
Hizo Sheria ni zipi?

Ila tukirudi kwenye msingi wa Uzi wako, bado nasisitiza kumkojoza mwanamke sio sole factor ya kumridhisha mwanamke.

Waulize si wapo hapa.
Sasa Mwanamke anamkojozaje kama hajaridhika na wewe mkuu?
Hivi unaelewa unachozungumzia.
 
Ukiyachunguza sana utagundua Mapenzi ni UFALA Mkuu.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Hawaeleweki hao wadada akikupenda yy bn maisha utakula kwanza akikuona tu unavua keshaloa ukimlamba shingo anazimia
 
Back
Top Bottom