Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Kama humfikishi mwanamke kileleni hawezi kuwa msiri wako

Ukisema hivi, unalifanya bandiko Lako kuwa batili mkuu. Ni sawa na mwingine aseme "kumridhisha mwanamke, ni kumpa pesa anazohitaji. Factors zingine zikiwa constant".

Nilitarajia utwambie kitu kinachomfanya mwanamke aridhike, ambacho kinajisimamia chenyewe bila kutegemea vingine, tofauti na hapo, nacho hakitoshi.

Nimezungumzia kukojozwa na kutunziwa siri.
Mwanamke mpaka akojoe jua anahisia na wewe(karidhika na wewe)
Hiyo ndio factor kubwa.
 
Huwa nawaangalia na kuwahurumia watu wanaodhani kuwa wana power ya kutuliza watu wengine.

Yani wewe mtu mmoja unaweza kumfanya binadamu mwenzio asipate hamasa ya kujaribu vitu vipya na mamilioni ya watu anaowana na kupishana nao njiani.

Binadamu hatulizwi kwa sababu hatosheki Ila yeye mwenyewe anaamua kutulia kwa kuridhika
Huwezi kumridhisha mtu ambaye hayuko tayari kuridhika.

Satisfaction comes from inside, and not otherwise. Ndio maana yupo anayepewa zawadi ya ua, atashukuru kama kajengewa nyumba. Ila mwingine utamnunulia simu, still aone sio kitu
 
Mwanamke hawezi kutulia ikiwa humkojozi huyo Mwanamke hayupo na hajaumbwa.

Waulize, wapo humu.

Wanawake sio kama sisi wanaume. Ingawaje kama alivyosema mdau hapo juu wapo wachache Exceptional ambao ndio huitwa Malaya wasioridhika na mwanaume mmoja hata kama unamkojoza.

Narudia, hakuna Mwanamke atakayekuvumilia n kutulia wakati humkojozi huyo hayupo.
.
Umefanyia research au unaongea tu.

Unadhani wanawake wote waliotulia wanafikishwa hasa kwa zama hizi ambazo, unaoa while unalinganishwa performance hata na wanaume watano!!

Na unadhani ndoa zote hizi mjini watu wanakiwasha lie ile kama wapo kwenye uchumba !!

Na kingine kama unawaelewa binadamu hakuna kitu kama general rule. Kitu unachokiona hakiwezekani kwa wenzio kinawezekana
 
Huwezi kumridhisha mtu ambaye hayuko tayari kuridhika.

Satisfaction comes from inside, and not otherwise. Ndio maana yupo anayepewa zawadi ya ua, atashukuru kama kajengewa nyumba. Ila mwingine utamnunulia simu, still aone sio kitu
Sawa kabisa mkuu 👏🏾👏🏾👏🏾
 
Nimezungumzia kukojozwa na kutunziwa siri.
Mwanamke mpaka akojoe jua anahisia na wewe(karidhika na wewe)
Hiyo ndio factor kubwa.
Heading imezungumzia kukojozwa na kutunziwa siri, ila content za Uzi umegusia vingi.

Na kama hiyo ndio factor kubwa, mara ngapi mahusiano yanavunjika sababu ya hela?
 
Mwanamke hawezi kutulia ikiwa humkojozi huyo Mwanamke hayupo na hajaumbwa.

Waulize, wapo humu.

Wanawake sio kama sisi wanaume. Ingawaje kama alivyosema mdau hapo juu wapo wachache Exceptional ambao ndio huitwa Malaya wasioridhika na mwanaume mmoja hata kama unamkojoza.

Narudia, hakuna Mwanamke atakayekuvumilia n kutulia wakati humkojozi huyo hayupo.
FaizaFoxy
Comment yako hapa tafadhali
 
Kukojoa kwa mwanamke ama mwanaume ni hisia, Wanawake wa sasa asilimia kubwa wanawaza vikoba, wanatumia dawa za kupanga uzazi , wanatumia madawa ya kujichubua ngozi, wengi wana stress za maisha. Hayo yote yanasababisha sex homoni kushindwa kubalance hivo kuwa vigumu kufikia mshindo,na wengi wanaekiti ili kukuvimbisha kichwa ili uonekane shughuli umeiweza ili utoe pesa ya maana.utajisifia unamkojoza kumbe anaekiti ili malengo ya kibunda yafikiwe.
 
Mwanamke unayemkojoza usimtazame wakati wa tendo bali baada ya tendo.
Kwenye tendo anaweza ku-act lakini baada ya tendo hawezi ku-act
 
Huwa hakuna muafaka (concensus) kwenye hili.

Kuna wanaosema kibunda cha mpunga tu kinamkojoza, wengine wanasema kuzama chumvini, wengine kukaa kifuani muda mrefu (hapa ndo kuna waumini wa mkongo), nk..

Pesa inamkojozaje Mwanamke na wewe?
Kule kwa Bushman ambako hawatumii pesa wanafanyaje kukojoza wake zao?

Kanuni ya kumkojoza Mwanamke inategemea na mwanamke mwenyewe.
 
Back
Top Bottom