Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yana mengi tu ya kuzingatia.
Huwa nawaangalia na kuwahurumia watu wanaodhani kuwa wana power ya kutuliza watu wengine.Hata ufanye jitihada kiasi Gani, hakuna namna ya kuweza kumfanya mwanamke aridhike ikiwa hayuko tayari kwa ilo. Hata hao unaowaona wametulia, sio kwamba wanaridhishwa, bali wameamua tu kutulia.
Na katika hii Dunia, satisfaction is myth. People will always want more.
Kila penye 'General Rule'... kuna 'exception'. 😎
By the way, sex is overrated in Africa.
-Kaveli-
Huwa nawaangalia na kuwahurumia watu wanaodhani kuwa wana power ya kutuliza watu wengine.
Yani wewe mtu mmoja unaweza kumfanya binadamu mwenzio asipate hamasa ya kujaribu vitu vipya na mamilioni ya watu anaowana na kuposhan njiani.
Binadamu hatulizwi kwa sababu hatosheki Ila yeye mwenyewe anaamua kutulia kwa kuridhika
Hata hakuna sir za wao kututunzia..
Kama ni siri ya kutowafikisha kileleni hiyo hata sio siri mbona. Tuma mambo menginya muhim kuzingatia sio ujinga wa kufikisha kilelen.
Kwa Mabandiko haya ni dhahiri kuwa WANAWAKE WANAITAWALA DUNIA.
Mwanamke anaonekana ni kiumbe dhaifu lakini Deep Down anawaendesha wanaume kama Magari.
KONGOLE KWENU WANAWAKE, MAANA VIJANA WANAHANGAIKA KILA UCHWAO KUWARIDHISHA NA KUWATUMIKIA.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
wanaume tutafika mbinguni tukiwa tumechoka Sana dadekii
Kikubwa nikojoe Mimi, nayeye apambane akojoe, chamsingi Ni pesa tu, nikiwanazo hata akiondoka takojoa popote nitakapotaka.
Sema wewe huo ukweli basi? mkuuUongo bhana
Uongo bhana
bado hamjasema, mtasema, yaaani mpaka msemee
Sex inapewa uzito kuliko jambo lolote Mkuu, ndio maana anguko kubwa la Waafrika wengi ni Ngono.
VIJANA WANAHANGAIKA KUWARIDHISHA MABINTI AMBAO WAMESHAFANYA KILA AINA YA UHUNI KWENYE MAPITO YAO (INASIKITISHA SANA).
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kuridhika nimekuongelea katika angle ya kujua kuna possibility ya kupata kilicho bora nje au hata hamasa ya kupata mshawasha wa kitu kipya Ila ukazishinda tamaa na kuamua kuridhika na unachokipata.Kuridhika hakumfanyi mtu atulie. Bali kuamua kutulia ndio kunamfanya mtu atulie.
Mtu anaweza kuridhika na mkewe/mumewe lakini bado akawa hajatulia
Dah..
Bandiko ziima umeongelea tu umuhimu wa kuwakojoza ila siyo maarifa ya kukojoza
Ukisema hivi, unalifanya bandiko Lako kuwa batili mkuu. Ni sawa na mwingine aseme "kumridhisha mwanamke, ni kumpa pesa anazohitaji. Factors zingine zikiwa constant".Kwenye mapenzi kumkojoza Mwanamke ndio kumridhisha. Factors zingine zikiwa constant
Kuridhika nimekuongelea katika angle ya kujua kuna possibility ya kupata kilicho bora nje au hata hamasa ya kupata mshawasha wa kitu kipya Ila ukazishinda tamaa na kuamua kuridhika na unachokipata.
So, mtu anaweza kutulia pamoja na madhaifu yako kwa sababu ameamua kuridhika na unachompa. Sio kwamba katoshelezwa kwa 100% kiasi cha kutotamani ladha mpya Ila kaamua kuridhika na kutulia