Gumasa
Member
- May 10, 2023
- 65
- 66
Ninaendelea kuwakumbusha watu wote ambao wanahitaji kumiliki viwanja vya gharama nafuu maeneo ya pembezoni mwa jiji la Mwanza bado vinapatikana.Changamkia fursa hii Sasa kwa kuhakikisha unajipatia plot yako kwa gharama nzuri kwani kadri muda unavyoenda ndivyo gharama ya viwanja huongezeka bila kujali mahali vilipo.
Ukubwa wa viwanja vinavyopatikana kwa Sasa ni kuanzia 18m×18m na kuendelea.Kwa hiyo unaweza kununua kiwanja kikubwa zaidi kutegemeana na mahitaji yako.
Viwanja vyetu vinapatikana Maeneo ya Kona ya FELLA,kando kando ya barabara ya kisesa-usagara,Maeneo ya kisesa kule Changabe na Igekemaja.Lakini pia tuna viwanja kisesa mikoroshoni,pamoja na Fumagira.
Bei ya kiwanja inaanzia 2.5M na kuendelea kutegemeana na ukubwa wa kiwanja.
Uaminifu wetu ni uhakika kwa 100% Kwani tunauza kwa mjibu wa sheria.
Kwa mahitaji na ushauri zaidi unaweza kufika ofsini kwetu moja kwa moja KISHILI mwisho wa hiace( TENGANIJA REAL ESTATE)
Au unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia namba hii 0684288417
KARIBU SANA.