Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 428
- 766
Ili uwe mtu alietoboa unatakiwa uwe na nini na nini? Kiasi gani cha fedha au mali?Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Uzi tayari.
ngoja niende pale ofisi za ccm central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
Data zipo kwenye website ya benki ya dunia kapakue usome kiongoziIli uwe umetoboa unatakiwa uwe na nini na nini? Kiasi gani cha fedha au mali?
Naona darasa la saba mmeanza sasa kuingia kwenye uzi,karibuni.upuuzi. peleka upuuz wako.
Kumbe.Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Uzi tayari.
ngoja niende pale ofisi za ccm central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
Acha uongo we fundi wewe! Mafundi wote huwa ni waongo waongo,awe wa kushona, awe wa cherehani, awe mechanika!Acha kuaminisha watu uwongo..wenye elimu ndo hao wanasota mtaan
Me na ufundi cherehan wangu nina mafanikio kuliko hao waliosoma
Wapuuzi wa chuo kikuu ninao watatu nawatuma, na sina hiyo diploma wala uijnga gani. Na vigari vya m10 , 15 nabadirisha nitakavyo
Ukitaka kujua uhusiano angalia level yako ya maendeleo na elimu yako wewe kama wewe,usitolee mfano mtu mwingine!alaf urudi kuleta majibuElimu ya juu ndiyo nini? Ina uhusiano gani na mafanikio ya mtu?
Sikutegemea uweze kujibu hili swali.Data zipo kwenye website ya benki ya dunia kapakue usome kiongozi
Kati ya uliowazidi na waliokuzidi kina nani wengi?Acha kuaminisha watu uwongo..wenye elimu ndo hao wanasota mtaan
Me na ufundi cherehan wangu nina mafanikio kuliko hao waliosoma
Mabilionea wengi wa Dunia wangekuwa Wanazuoni wa kiwango cha PHD ... kama hujafanya utafiti una haki ya kukaa kimya, hutashitakiwa kwa hiloUkitaka kujua uhusiano angalia level yako ya maendeleo na elimu yako wewe kama wewe,usitolee mfano mtu mwingine!alaf urudi kuleta majibu
Acha uwongo wewe!Mimi darasa la saba ninaishi poa tu.