Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,177
- 14,156
Wamesoma laknMabilionea wengi wa Dunia wangekuwa Wanazuoni wa kiwango cha PHD ... kama hujafanya utafiti una haki ya kukaa kimya, hutashitakiwa kwa hilo
Wamesoma laknMabilionea wengi wa Dunia wangekuwa Wanazuoni wa kiwango cha PHD ... kama hujafanya utafiti una haki ya kukaa kimya, hutashitakiwa kwa hilo
Huo ndo ukweli. Nimeishia la saba B.Acha uwongo wewe!
Nafikiri hii formal education ililetwa Afrika kuja kutupora uwezo wa kufikiri na ndiyo maana wazazi wengi wanajikuta wanauza ng'ombe wanyama kupeleka ng'ombe mtu shule ambaye akishafubazwa uwezo wake wa kiakili anatunukiwa kipande cha karatasi kwa lengo la kujiona binadamu aliyestaarabika kuliko wengine kwenye jamii aliyotoka.Baba mkwe wangu kaishia std 7 ila yeye ndio anabeba wajukuu zake kila mwezi January kwa vijana wake wanaokwama kulipa ada anazilipa yeye. Kila mtoto kamkabidhi nyumba ya urithi,kiwanja na shamba. Kiufupi yuko vizuri mno kuliko watoto wake ambao 8/10 wote wana mashavu serikalini.
Ukiniambia elimu ya cheti,diploma ama degree zinamfanya mtu afanikiwe natamani nikuzabe hata kofi!
Ngoja nikuache tu.Huo ndo ukweli. Nimeishia la saba B.
Ofcourse, thats what comes into my mind directly! Kuna udhaifu flani ambao unapandikizwa katika fikra za mtu kupitia hii system ya elimu tulioletewa.Nafikiri hii formal education ililetwa Afrika kuja kutupora uwezo wa kufikiri na ndiyo maana wazazi wengi wanajikuta wanauza ng'ombe wanyama kupeleka ng'ombe mtu shule ambaye akishafubazwa uwezo wake wa kiakili anatunukiwa kipande cha karatasi kwa lengo la kujiona binadamu aliyestaarabika kuliko wengine kwenye jamii aliyotoka.
Matarajio ni makubwa kuliko uhalisia. Nionavyo mimi kazi ya elimu yoyote iwe formal ama informal inapaswa iwe ni kumwandaa mwanadamu ili aweze kukabiliana na mazingira yake ya kila siku. Hii ni kanuni ya asili, Uliwahi kujiuliza binadamu wa kwanza kutoa elimu ya maarifa kwa binadamu wengine alipata wapi elimu? Jibu liko wazi kwamba changamoto tunazokumbana nazo kwenye maisha ndizo zinatufanya tubuni namna ya kuweza kuzikabili. Kwa muktadha huu kile tunachokigundua kama suluhisho la kukabiliana na chamamoto za kimaisha kisha kukirithisha kwenye kizazi kinachofuata kitaitwa elimu. Lengo la kuzalisha wataalamu wa kilimo halikuwa kuwafanya wazunguke na vyeti kwenye maofisi yenye vioo mijini kutafuta kazi za kulima kwa njia ya kompyuta,kadhalika kada nyingine za taaluma na maarifa. Ni vyema watu tujitambue kwanza, kisha kutambua wajibu wako kwako binafsi na kwa jamii inayokuzunguka!Ofcourse, thats what comes into my mind directly! Kuna udhaifu flani ambao unapandikizwa katika fikra za mtu kupitia hii system ya elimu tulioletewa.
Its never working as it was supposed to! Imagine mtu akisoma akamaliza kisha akakosa kazi, he/she becomes totally dumb. Sijui kuna siri gani hapo katikati ila maisha yanakuwa tofauti sana na ya mtu ambaye hajafuata mfumo wa elimu mpaka kufikia kilele chake.
Acha uongo we fundi wewe! Mafundi wote huwa ni waongo waongo,awe wa kushona, awe wa cherehani, awe mechanika!
Napita tu .....Mimi darasa la saba ninaishi poa tu.
Umesema kweli.Matarajio ni makubwa kuliko uhalisia. Nionavyo mimi kazi ya elimu yoyote iwe formal ama informal inapaswa iwe ni kumwandaa mwanadamu ili aweze kukabiliana na mazingira yake ya kila siku. Hii ni kanuni ya asili, Uliwahi kujiuliza binadamu wa kwanza kutoa elimu ya maarifa kwa binadamu wengine alipata wapi elimu? Jibu liko wazi kwamba changamoto tunazokumbana nazo kwenye maisha ndizo zinatufanya tubuni namna ya kuweza kuzikabili. Kwa muktadha huu kile tunachokigundua kama suluhisho la kukabiliana na chamamoto za kimaisha kisha kukirithisha kwenye kizazi kinachofuata kitaitwa elimu. Lengo la kuzalisha wataalamu wa kilimo halikuwa kuwafanya wazunguke na vyeti kwenye maofisi yenye vioo mijini kutafuta kazi za kulima kwa njia ya kompyuta,kadhalika kada nyingine za taaluma na maarifa. Ni vyema watu tujitambue kwanza, kisha kutambua wajibu wako kwako binafsi na kwa jamii inayokuzunguka!
Kumbe umeliona hili mkuu, tatizo bado watu hawajajua ni ipi nafasi sahihi ya hizi taaluma ambazo watu wanazisomea katika maisha.Ajabu ni kuwa mnaosema ni kheri hamkusoma mnazidi kusomesha watoto wenu tena shule private.Maajabu haya!
Naomba nitie kaneno hapa MKUU kuhusiana na kusoma na kufanikiwaAjabu ni kuwa mnaosema ni kheri hamkusoma mnazidi kusomesha watoto wenu tena shule private.Maajabu haya!
Kwahio wewe huamini tupo tulioishia la Saba A au?Ngoja nikuache tu.
[emoji23][emoji23][emoji23]ungeeenda tu kwenye point kwamba ni mtia nia [emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Uzi tayari.
ngoja niende pale ofisi za ccm central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.