Kama huna elimu ya juu mafanikio utayasikia tu kwenye tv

Kama huna elimu ya juu mafanikio utayasikia tu kwenye tv

Elimu inakupa uwezo wa kumudu changamoto za kimazingira kwa urahisi, ndo maana asilimia kubwa ya wasomi angalau wana kipato cha kuishi mjini, ila wapo wasio na elimu kubwa bado wana akili nyingi ya maisha. Hivyo, uwezo wa kufanikiw upo zaidi kwenye akili au tuseme fikra kuliko kiwango cha elimu alicho nacho mtu.
 
Nikiangalia maisha ya jamaa zangu waliosoma na nikiangalia maisha yangu naona kuwa ni bora sikusoma, maana wengine mshahara wa mwezi mzima yaani siku 30 ni sawa na kipato cha siku moja kwa sisi ambao hatukusoma.
ACHA UONGO! NAONA UMEONGEA KINYUME CHAKE!
 
Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.

Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.

Ngoja niende pale ofisi za CCM central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
YAWEZEKANA UKAWA NA ELIMU LAKINI HAUNA AKILI..... KWA HIYO ELIMU HAIWEZI KUWA MSAADA KWAKO.
 
Umenichekesha sana mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Fundi cherehani
Selemala
Fundi saa
Fundi viatu
Fundi ujenzi
Mvuvi harami
Konda
Painter
Fundi mitaro
Fundi baiskeli
Fundi simu

Hawa kuendelea ni ishu babaa, utapeli mwingi.
Duuuh kuna kada hapo umezikosea sikuoneshi ila angalia tenautaziona zipo kama tatu ......sahv ni top sana kimjini mjini maana ufundi wao wanatengeneza vitu vya ghali sana ,kila kukicha vitu vinakuwa vipya fashion nk.
 
Elimu inakupa uwezo wa kumudu changamoto za kimazingira kwa urahisi, ndo maana asilimia kubwa ya wasomi angalau wana kipato cha kuishi mjini, ila wapo wasio na elimu kubwa bado wana akili nyingi ya maisha. Hivyo, uwezo wa kufanikiw upo zaidi kwenye akili au tuseme fikra kuliko kiwango cha elimu alicho nacho mtu.
Daaah! wewe mtu umetema madini ya hatari mno. nakupa Good critical na like za kutosha kwako.
 
mkuu mimi nina elimu ya juu ila hapa umechemka sna


yaani hakuna hicho kitu ..........big wrong.
 
mkuu mimi nina elimu ya juu ila hapa umechemka sna


yaani hakuna hicho kitu ..........big wrong.
endelea kukomaa ,tayari msingi unao,ila ukikaa kibwege bwege haufikirishi akili lazima uone haina umuhimu.
 
Kuna mwingine akipata kazi hata ya laki mbili ameshatoboa
 
Kuna kipindi Kenya walizinguana na Dubai, jamaa wa Dubai wakasema sifa 1 ya kupata visa ya dubai ni muombaji awe na degree aisee wafanyabiashara wakenya jasho la meno liliwatoka ikabidi serikali ya Kenya ipige magoti tu kwa jamaa wa dubai.
 
Back
Top Bottom