Kama huna elimu ya juu mafanikio utayasikia tu kwenye tv

Elimu ni muhimu
Elimu ni muhimu

Hiyo mifano yenu sijui nan ana hela kuliko nan na hajasoma ni vitu tofauti na uhalisia ulivyo
Chukua idad ya vijan waliosoma na ambao hawajasoma uangalie uwiano wa maisha na unafuu wake

Mafanikio ni tafsiri pana na yenye mitihan na majaribu mengi ni rahis kuulezea utajir wa mtu aliyesoma kuliko wa mtu ambaye hajasoma

Kaa na mtu ambaye hajasoma akudadavulie utajir wake ulivyokuwa na mitihan na majaribu mengi.

Note: Hata ambaye hajasoma na amefanikiwa anatamani kizazi chake kisome. Usichukulie poa kutoboa ukiwa hujasoma ni nguvu kubwa inahitajika.
 
endelea kukomaa ,tayari msingi unao,ila ukikaa kibwege bwege haufikirishi akili lazima uone haina umuhimu.
Hawa ndo wanafanya elimu ichukuliwe poa
Umekaa hufikirish kichwa unasema elimu yako haikusaidiii
 
Huyu jamaa aliwahi anzisha thread ya kiboya sana kule jukwaa la Teknolojia. A Clout chaser indeed.
 
Nikiangalia maisha ya jamaa zangu waliosoma na nikiangalia maisha yangu naona kuwa ni bora sikusoma, maana wengine mshahara wa mwezi mzima yaani siku 30 ni sawa na kipato cha siku moja kwa sisi ambao hatukusoma.
Mhhh, mko wangapi wa aina yako ? Ukweli ni kwamba elimu ni ufunguo wa maisha
 
Ajabu ni kuwa mnaosema ni kheri hamkusoma mnazidi kusomesha watoto wenu tena shule private.Maajabu haya!
Hapo sasa. Ukifanya utafiti kidogo nyumba nyingi nzuri zinazojengwa kwenye miji mikubwa ni za wafanyakazi. Fundi saa sijui fundi ujenzi wote hoi. Elimu itabaki juu tu.
 
Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.

Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.

Ngoja niende pale ofisi za CCM central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.

When a loser achieve something!
 
Wee acha upuuzi ma genious karibia wote ukiwasikiliza kwenye story zao Kuna sehemu waliacha shule ili waendeleze Mambo yao mi naamini kila mtu anazaliwa na iq kubwa shuleni ni tunaenda kukaririshana
 
Elimu za kukariri kamwe hazimfanyi MTU afanikiwe.

Elimu ya juu iwe Elimu ya juu haswa
 
Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.

Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.

Ngoja niende pale ofisi za CCM central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
Diamond plutnumz na harmonize wana diploma ya nini,boss MCHALO pale korogwe au CHIDI BOY pale masasi hata std 7 walipiga chini

Wasomi wengi hawatafuti kwa halali kama ulikua hujui UFISADI,DHULMA,UDANGANYIFU,WIZI hufanikiwa kupitia kati ya hayo

Hiyo elimu uliyopewa na mzungu ni access ya kutafutia maisha lakini yanapokuja mafanikio ni mipango ya RABANA MUNGU ALIYE HAI MWENYE KITI CHA ENZI

EBU niambie mtangazaji au mwanahabari gani hapa tanzania mwenye ukwasi zaidi ya DIAMOND PLUTNUMZ ambae hana hata professional certificate yeyote
 
Sababu kwa nini wasomi wengi sio matajiri na hawana mafanikio.

1. N i waoga wa ku-take RISK
Sio mwenye bachelor sio PHD yote inawaza ajira tu na si kuanzisha biashara ama kujitegemea kwa namna fulani fanya utafiti hapo mwanza top 10 ya matajiri kama utamkuta msomi.

2.Hawaaamini katika kufeli, mtu anayefeli masomoni anaonekana kama hafai sio tu shule lakini pia ni mzigo kwa wazazi wakati kufeli kwa mtu asiyesoma ndio chachu ya mafanikio.

3. Utajiri na mafanikio vinatokana na skills ambazo hufundishwi shule mfano Monehly saving, time management, entrepreneurial skills, team working n.k shule unafundishwa profession tena inakuandaa kuwafanyia watu kazi.

4. Mtaani wana encourage sana ushirikiano na kuinuana wakati shule mnafundishwa ubinafsi na ushindani mmoja awe wa kwanza mwingine wa mwisho

NENDA KATIE NIA UKIKATWA UTUAMBIE
 
[SUP]Hongera kwa kufika kiwango Cha elimu ya juu[/SUP]
 
Umemaliza
 
Kwako kutoboa ni kuteuliwa ccm?

Uliza msukuma atakutoa ujinga
Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.

Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.

Ngoja niende pale ofisi za CCM central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
 
Nenda Kwenye majiji makubwa ,tafuta wafanyabiashara wakubwa pale halafu uliza elimu zao kisha utakuja kunishukuru!!
 
Hao watu aina ya Diamond wako wangapi ? Acheni mzaha jamani, elimu itakuwa juu siku zote

Back
Top Bottom