Kama huna elimu ya juu mafanikio utayasikia tu kwenye tv

Kama huna elimu ya juu mafanikio utayasikia tu kwenye tv

Sisi humu wa jf kuwa member tu ni digrii tosha kabisa japo wengine tuna elimu ya darasa la saba
 
Msivunjishe watu moyo,wengine wamesoma elimu akhera mbona wametoboa life la hapa duniani na huenda na akhera pia..!!
 
Unapozuungumzia mafanikio unaamanisha nini?

Ni nin kipimo chako cha mafanikio mkuu?

Tuanzie hapo
 
Acha kuaminisha watu uwongo..wenye elimu ndo hao wanasota mtaan

Me na ufundi cherehan wangu nina mafanikio kuliko hao waliosoma
hayo ni MAUMIVU yaani unajifariji.

kimoyo moyo unatamani ungesoma hata kufika kidato cha kwanza tu
 
Mbona maprofesa wamesoma sana lakini wanaishi kwa kujikomba na kunyenyekea kwa binadamu mwenzao kuliko hata unyenyekevu wanaoonyesha kwa Mungu?
 
Ngoja nikawaulize akina Msukuma,Bakhresa,Kishimba na Mzee Lameck Kairo.
 
Wapuuzi wa chuo kikuu ninao watatu nawatuma, na sina hiyo diploma wala uijnga gani. Na vigari vya m10 , 15 nabadirisha nitakavyo
Aha ha haaa...ilibidi nisome id faster baada ya kuona vigari vya m10 hadi 15 , ningeshangaa kama ningemkuta yule boss wa jf anayetumia gari za kuanzia m100 kwenda juu
 
mnaweza kunambia elimu ya bill gates na bakhresa
Hiyo hapo
N.b
Ni harvad drop out sio udsm , au sua, au ardhi , au udom e.t.c dropout .
Screenshot_2020-07-17-09-45-56.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom