Kwa nini umewaajiri waliosoma, endelelea kuwaajiri wasio soma , unawapinga wasomi alafu unataka uwaajiri??Sijasoma elimu ya ngazi za juu ila nimeajiri waliosoma. Vice versa...
Acha kuaminisha watu uwongo..wenye elimu ndo hao wanasota mtaan
Me na ufundi cherehan wangu nina mafanikio kuliko hao waliosoma
AiseeeeNina ofisi za ushonaji sehemu 3 nmefungua.nimeajiri vijana 30
Frem ni zangu sijakodi
Nina nyumba za kupanga room kama 10 nimekodisha
Nina bar kama 2 nasimamia mwenyew
Nanimeishia darasa la saba.una lipi lingine la kusema
Nyie ndio mkikosa njia za kutoboa kimaisha huwa mnajinyonga kabisaUkweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Ngoja niende pale ofisi za CCM central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
We soma ili uwajiliwe sie tunapiga kazi niko na vibiashara vyangu vijumba na maeneo kazaa bado napigisha jembe huko shambani.sasa sasa sijui unazungumzia maaendeleo yapi manana huo mshahara wako 1.2m nakusanya ktk kamisheni vya tigo Mpesa.wewe endelea kusoma uje kuajiliwa ujengi mpaka uchukue mkopoUkweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Ngoja niende pale ofisi za CCM central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
kaka mkubwa mbona unanitisha sasa???.Kiongozi njoo privet, siku upange nikifuate popote ila iwe hapa Dar, nikuonyeshe hao unaowaita wasomi ninaofanya nao kazi mimi nikiwa CEO wao. Na nauli ya kuurudi kwako nakupa.
[emoji38][emoji16][emoji23][emoji1787]Unamfahamu laizer??
Guys maisha yana siri kubwa, elimu ni mwanga tu maadam uko hai kutoboa ni jitihada zako binafsi.Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Ngoja niende pale ofisi za CCM central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
Ila unatumia nguvu sana kupata pesa raha ya kisomo unashusha mizigo tuAcha kuaminisha watu uwongo..wenye elimu ndo hao wanasota mtaan
Me na ufundi cherehan wangu nina mafanikio kuliko hao waliosoma
Mafanikio kutangaza Nia?Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana.
Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio.
Ngoja niende pale ofisi za CCM central police,Mwanza, nikatie nia ya kugombea udiwani kata ya mbugani nichukue na form.
Elimu bongo?Naona darasa la saba mmeanza sasa kuingia kwenye uzi,karibuni.
Vipi kijana? Unataka ajira?Kwa nini umewaajiri waliosoma, endelelea kuwaajiri wasio soma , unawapinga wasomi alafu unataka uwaajiri??
Nafikiri hii formal education ililetwa Afrika kuja kutupora uwezo wa kufikiri na ndiyo maana wazazi wengi wanajikuta wanauza ng'ombe wanyama kupeleka ng'ombe mtu shule ambaye akishafubazwa uwezo wake wa kiakili anatunukiwa kipande cha karatasi kwa lengo la kujiona binadamu aliyestaarabika kuliko wengine kwenye jamii aliyotoka.
Mkuu siyo kweli nina mjomba wangu kaishia darasa la nne la mkoloni katoboa maisha siyo mchezo, ni tajiri zaidi ya ukoo wake wote wenye wasomi kibao.
Nina kaka yangu tumbo moja aliishia kidato cha pili (form 2) katoboa maisha pengine kuliko ndugu zake wote tulio hitimu elimu ya juu.
Maisha hayana kanuni moja maalum, kusoma siyo kufanikiwa maisha.
Kubwa zaidi mafanikio ya watu tofatuti hayafanani (success is relative), mwingine ile kupata shahada ya kwanza tu yeye kafikia malengo kwa hivyo kwake ni mafanikio, mwingine kumiliki ng'ombe 10 ni mafanikio au katoboa maisha, mwingine kumiliki dola bilioni 500 bado hajafanikiwa, mwingine kuwa mshika dini mtiifu ni mafanikio, mwingine kuoa au kuolewa tu ni mafanikio.
Mwingine kuishi kwa furaha angali hana nyumba wala utajiri wowote ni mafanikio makubwa sana kwake.