Bird Watcher
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,614
- 9,689
Gates ana Degree from Havardmnaweza kunambia elimu ya bill gates na bakhresa
Gates ana Degree from Havardmnaweza kunambia elimu ya bill gates na bakhresa
Mkuu ndoo umendika nini ,au hujasoma ulichokiandika ? Rudi utazame kama wewe wenyewe umeelewa,"wanawaxa" unamaanisha niniInategemea na focus yako katka maisha ipo wap... Ww inaonekana unawaxa kivyet vyet... Kuna wenxako uko wanawaxa kijembe jembe na wametoboa ... Kama co mvivu kufanya kax na uwexo wa kujtia moyo n mkubwa unatoboa tu ...kuwa makin na mtaxamo wako usiwe n chanxo cha kuwakatsha wengine tamaa
Hukunielwea kabisa wewe mwenye upeo mkubwa!Kusema kwamba kuuza mali kwa ajili ya kusomesha watoto ni vibaya, ni pointless. Una upeo mdogo wa kufikiri. Kwani ukiumwa anaekutibu ni nani , si daktari? Angekuwaje daktari bila ya kusoma. Au ww kujua kusoma na kuandika ungejuaje bila kufundishwa na mwl, na huyo mwalimu angepataje uwalimu bila ya kusoma? Hata huyu wa Jamii Forums ambae sasa hivi ametuunganisha tunachat, ingewezekana vp bila ya kusoma? Smartphones, magari, ndege, internet n.k vingewezekana vipi bila ya watu kusoma? Cha msingi elewa kuwa kuna elimu ya kutoa ujinga (scholastic education, la kwanza hadi form six) na kuna elimu za taaluma (professional education) na kuna elimu ya fedha (financial education). Elimu zote hizo zina umuhimu wake na hakuna ya kubeza, hata daraja haliwezi kujengwa bila ya kuwepo na kibarua (ingawa kuna mhandisi)
Acha kukuza mambo mkuu! Trump alikuwa mfanyakazi wa mwana masumbwi..Elimu bongo?
Unasoma alafu unaenda kuwa mfanyakazi wa Diamond[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
vyovyote unavyoona wewe.yaan unachotaka kumaanisha nikwamba umenifunga mdomo??
Yah nikweli kabisa mkuu
Mfano Upo kwa ;
Prf.LIPUMBA Na
S.S.BAKHALESA
naomba unitumie namba yako kule PM.vyovyote unavyoona wewe.
Bilgate ni drop out wa Harvard usimlinganishe na bakhresa.Bill gate ni inventor bakhresa ni businessman.Billgate alisoma code kuanzia mdogo,alipofika university kila kitu alikuwa anajua hivyo akaamua akaanzishe kampuni kwa kushirikiana na wasomi wakubwa.Kumtotelea mfano billgate,zuckerburg na Stive job ni kukosa taarifa za hao watu.University dropout ni msomi asie na cheti.Bill gate mpaka sasa anasoma vitabu 50 kwa mwaka, hivyo ana maarifa mengimnaweza kunambia elimu ya bill gates na bakhresa
Huezi zungumza na mtu aliyeishia darasa la saba,mitazamo yetu lazima iwe tofautinaomba unitumie namba yako kule PM.
nina mazungumzo na wewe
Sihitaji ajira yako ya masimango , nilionayo inanitosha, namshukru Mungu nduguVipi kijana? Unataka ajira?
wewe sema kuna kitu unataka kuninyima.Huezi zungumza na mtu aliyeishia darasa la saba,mitazamo yetu lazima iwe tofauti
We ongea na wasomi wenzio
vipi uliibiwa?Kwingine sina ushuhuda ila kwenye janga la chuma ulete nina ushuhuda asimilia 100!!dawa zipo, kweli kuwa uyaone!! Ndio maana nikimsikia mtu anasema uchawi hakuna, namuangalia!!!!
Kwenye biashara yangu ilinitesa sana!! Hadi nilikuwa natawanya pesa ninazouza dukani ili zisipotee, lakini wapi, ukipiga hesabu si chini ya 20,000kila siku lazima ipotee!! Haya mambo yasikie tu!!vipi uliibiwa?
Acha uongo we fundi wewe! Mafundi wote huwa ni waongo waongo,awe wa kushona, awe wa cherehani, awe mechanika!