Kama huna elimu ya juu mafanikio utayasikia tu kwenye tv

Mkuu ndoo umendika nini ,au hujasoma ulichokiandika ? Rudi utazame kama wewe wenyewe umeelewa,"wanawaxa" unamaanisha nini
 
Hukunielwea kabisa wewe mwenye upeo mkubwa!
 
mnaweza kunambia elimu ya bill gates na bakhresa
Bilgate ni drop out wa Harvard usimlinganishe na bakhresa.Bill gate ni inventor bakhresa ni businessman.Billgate alisoma code kuanzia mdogo,alipofika university kila kitu alikuwa anajua hivyo akaamua akaanzishe kampuni kwa kushirikiana na wasomi wakubwa.Kumtotelea mfano billgate,zuckerburg na Stive job ni kukosa taarifa za hao watu.University dropout ni msomi asie na cheti.Bill gate mpaka sasa anasoma vitabu 50 kwa mwaka, hivyo ana maarifa mengi
 
Kwingine sina ushuhuda ila kwenye janga la chuma ulete nina ushuhuda asimilia 100!!dawa zipo, kweli kuwa uyaone!! Ndio maana nikimsikia mtu anasema uchawi hakuna, namuangalia!!!!
 
Acha uongo we fundi wewe! Mafundi wote huwa ni waongo waongo,awe wa kushona, awe wa cherehani, awe mechanika!

Mafundi Oyeee! Kuna mwenzetu mmoja keshampiga msomi huko[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…