Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Sikujua kama wewe ni mjinga kiasi hikiKama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, HUWEZI kuishadadia Urusi
Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi.
Kama unataka Kiongozi akiwa madarakani asitumie madaraka hayo kujitajirisha, wewe na Urusi hamfanani
Kama unapenda demokrasia duniani, kaa mbali na Urusi.
Kama unachukia viongozi Katili, jitenge na Urusi.
Kama siyo tabia yako kupenda wanasiasa wanapenda rushwa na wanaozuia kukamatwa, iache Urusi ikae mbali na wewe.
Ujinga kwa kuwa nimeandika usichokipenda?? Ujinga upo wapi hapo?Sikujua kama wewe ni mjinga kiasi hiki
Kuliko kumtetea rais kama huyu wa ukeaine kwenye picha acha tu niendelee kumtetea mrusiKama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, HUWEZI kuishadadia Urusi
Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi.
Kama unataka Kiongozi akiwa madarakani asitumie madaraka hayo kujitajirisha, wewe na Urusi hamfanani
Kama unapenda demokrasia duniani, kaa mbali na Urusi.
Kama unachukia viongozi Katili, jitenge na Urusi.
Kama siyo tabia yako kupenda wanasiasa wanapenda rushwa na wanaozuia kukamatwa, iache Urusi ikae mbali na wewe.
Mambo ya Photo shop kaa nayo mbali sana!!Kuliko kumtetea rais kama huyu wa ukeaine kwenye picha acha tu niendelee kumtetea mrusiView attachment 2574813
Marekani hana tofauti na mchawi, unamzaa mtoto, unamlea na kumsomesha mwisho wa siku anamla nyama. Usibabaishwe na vimisaada kwani marekani hapeleki msaada sehemu ambayo hakuna returnsUjinga kwa kuwa nimeandika usichokipenda?? Ujinga upo wapi hapo?
Sisi tunawapa Marekani return gani kwa misaada wanayotupa!??Marekani hana tofauti na mchawi, unamzaa mtoto, unamlea na kumsomesha mwisho wa siku anamla nyama. Usibabaishwe na vimisaada kwani marekani hapeleki msaada sehemu ambayo hakuna returns
Mwamposa:"Demokrasia ni sawa sawa na devil gasiaKama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, hauwezi kuishadadia Urusi. Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi.
Kama unataka Kiongozi akiwa madarakani asitumie madaraka hayo kujitajirisha, wewe na Urusi hamfanani. Kama unapenda demokrasia duniani, kaa mbali na Urusi. Kama unachukia viongozi Katili, jitenge na Urusi.
Kama siyo tabia yako kupenda wanasiasa wanapenda rushwa na wanaozuia kukamatwa, iache Urusi ikae mbali na wewe.
Umenikumbusha mwaka 2015 ccm wakionyeshwa umati wa lowasa wanasema ni photoshop!!Mambo ya Photo shop kaa nayo mbali sana!!
Tunasainni mikataba ya wizi na kufuata wanayotuambia kama vile kueneza ushogaSisi tunawapa Marekani return gani kwa misaada wanayotupa!??
Na yeye anatajirika kama matajiri wa Urusi. Anauza maji lakini halipi kodi kwa biashara ya maji na mafuta anayofanya. Biblia inasema, mmepewa bure toeni bure. CCM wanafaidika kwa dozi ya Ganzi anayotoa Mwamposa kwa watanzania ambao wametupwa nje na mfumo wa Afya nchini.Mwamposa:"Demokrasia ni sawa sawa na devil gasia
AhaaaaaaaNa yeye anatajirika kama matajiri wa Urusi. Anauza maji lakini halipi kodi kwa biashara ya maji na mafuta anayofanya. Biblia inasema, mmepewa bure toeni bure. CCM wanafaidika kwa dozi ya Ganzi anayotoa Mwamposa kwa watanzania ambao wametupwa nje na mfumo wa Afya nchini.
Yani dume zima limevaa kimini alafu leo niliteteeMambo ya Photo shop kaa nayo mbali sana!!
Kwahiyo anakula pamoja na CCM!?Na yeye anatajirika kama matajiri wa Urusi. Anauza maji lakini halipi kodi kwa biashara ya maji na mafuta anayofanya. Biblia inasema, mmepewa bure toeni bure. CCM wanafaidika kwa dozi ya Ganzi anayotoa Mwamposa kwa watanzania ambao wametupwa nje na mfumo wa Afya nchini.
Watu tumelishwa matango pori kua marekani pekee ndio anademokrasia wengine wote hawana.Kunaambo mengi ya ajabu sana huko marekani ambayo nikinyume na haki za binadamu na demokrasia kwa ujumla.Kama huamini kwamba Kiongozi anatakiwa kuabudiwa, hauwezi kuishadadia Urusi. Kama wewe unaamini kila mtu ana haki ya kuelezea hisia zake bila ya kutishwa na dola, huwezi kuishabikia Urusi.
Kama unataka Kiongozi akiwa madarakani asitumie madaraka hayo kujitajirisha, wewe na Urusi hamfanani. Kama unapenda demokrasia duniani, kaa mbali na Urusi. Kama unachukia viongozi Katili, jitenge na Urusi.
Kama siyo tabia yako kupenda wanasiasa wanapenda rushwa na wanaozuia kukamatwa, iache Urusi ikae mbali na wewe.
Ndo yeye yeyeeeeweKuliko kumtetea rais kama huyu wa ukeaine kwenye picha acha tu niendelee kumtetea mrusiView attachment 2574813
Wapi umeona serikali ya Marekani inaeneza ushoga. Yaani Marekani inatoa mashoga New York na kuwaleta mbagala na Gongo la Mboto au inakuwaje??Tunasainni mikataba ya wizi na kufuata wanayotuambia kama vile kueneza ushoga
Kama jambo gani kwa mfano. Kwa kulinganisha uhuru wa Raia Marekani na Urusi, Marekani ni kama mbinguni kwa warusi.Watu tumelishwa matango pori kua marekani pekee ndio anademokrasia wengine wote hawana.Kunaambo mengi ya ajabu sana huko marekani ambayo nikinyume na haki za binadamu na demokrasia kwa ujumla.
Kuna mahali nimeuliza kwamba Sodoma na Gomora ushoga ulienezwa na Marekani?? Hoja hapa ni kwamba ili uikubali urusi ni lazima uwe na chembe chembe za kupenda kukandamiza wengine.Mkuu nakupinga, hayo maswala ya haki haki ndo yanasabisha kuenea kwa ushoga na pia wanawake wanapewa kichwa kujiona wako sawa na wanaume,