Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Ishakuwa kero sasa, kila siku wanaume tunasimangwa.

Sasa ili kuweka rekodi sawa, hapa ni wale tusiokuwa na gari wala nyumba.

Wadada mtuvumilie jamani, hatuna ila tunakomaa kuzitafuta.

Khaaaa!!
Niko hapa ninayeishi stoo na kugonga mihuri mchana kutwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…