Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Sina gari sina nyumba, sina demu sina mchumba
 
Umasikini ni sifa na jambo la kuiga JF.

So is this like the flavor of the month now?

I mean haya mambo ya flani anasema ana gari na nyumba?

Ukisema huna gari na huna nyumba ndo unakuwa ‘real’? Ndo badge of realness?

Chit-chatters logic is hilarious.

Sikujua kama gari is that much a big of a deal anymore!!

In some places people are abandoning car ownership altogether meanwhile over here it seems to be the ‘it’ thing!!

Wanasema tembea ujionee lakini mimi nasema tembea uelimike [ sizungumzii elimu ya darasani].
 
JF kuna maajabu sana. Na humu ndio kuna wasomi aka Great Thinkers.
 
kuwa na gari na kuwa na nyumba hakuna umuhimu pia kuna umuhimu depending tu na mazingira yako ya maisha. mathalani mimi sio mwenyeji sana wa dar, ila mara kadhaa nikija nagundua kuwa mifumo kama ya magari ya mwendokasi ikiwa mizuri, gari inapoteza umuhimu kabisa. Baadhi ya nchi kampeni ni ride more drive less. Gari na nyumba ni suala la mazingira na fursa za kimaisha sio ureal wala ufake....
 
awamu hii kutokuwa na kitu ndo ujanja naona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…