Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umasikini ni sifa na jambo la kuiga JF.Tunaendelea kujaza nafasi zetu hapa...
Umasikini ni sifa na jambo la kuiga JF.
JF kuna maajabu sana. Na humu ndio kuna wasomi aka Great Thinkers.So is this like the flavor of the month now?
I mean haya mambo ya flani anasema ana gari na nyumba?
Sikujua kama gari is that much a big of a deal anymore!!
In some places people are abandoning car ownership altogether meanwhile over here it seems to be the ‘it’ thing!!
Wanasema tembea ujionee lakini mimi nasema tembea uelimike [ sizungumzii elimu ya darasani].
JF kuna maajabu sana. Na humu ndio kuna wasomi aka Great Thinkers.
Nyuma ya huu uziSisi wenye baiskeli.
Alafu bado tupo kwa shangazi tuna comment wapi
Watu wanafeki kama zilivyo feki zingine tu mkuu.Umasikini ni sifa na jambo la kuiga JF.
Hii haituhusu tunaokaa kwa shemeji....na gari tunaendesha la shemeji!
HahahahaTunaokaa kwa mashemeji tunakomenti wapi?
MmmmmhWatoto wazuri wote wanapenda magari bora muendelee kuwadanga tu.
Watu wa jf wana fake kujifanya maskini. Wakati 80% ya humu wanaishi Masaki na Oysterbay.Watu wanafeki kama zilivyo feki zingine tu mkuu.
Mbona mmmmmhMmmmmh
Mbona mimi na wewe tunapendana sana. Japo sina hata bodaboda.Mbona mmmmmh
Kwahiyo ile unaazimaga?Mbona mimi na wewe tunapendana sana. Japo sina hata bodaboda.
mwenyewe ndo nashangaa hapa😊Aisee kumbe mpk mna group wa whatsaap nje ya hapa jf?