Kama Huna Gari na Nyumba Jiorodheshe hapa

Ishakuwa kero sasa, kila siku wanaume tunasimangwa.

Sasa ili kuweka rekodi sawa, hapa ni wale tusiokuwa na gari wala nyumba.

Wadada mtuvumilie jamani, hatuna ila tunakomaa kuzitafuta.

Khaaaa!!

Namiliki simu ya milioni moja ila sina hata pa kulala 😔😔😔
 
Pesa yako unaishia kuvalia tu? Na kuhonga wadada wa JF [emoji16]

Kuna dadakule kwny grp la whtsap kakusifia kwa kuhonga mkuu eti ww huna mkono wa birika kala sana bata go n return za arusha kwa bombadier
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona mmetukumbuka na ss wanyonge tusiomiliki vyombo vya moto mjini,mm mmojawapo sina kitu nasema tena sina kituuu
 
Pesa yako unaishia kuvalia tu? Na kuhonga wadada wa JF [emoji16]

Kuna dadakule kwny grp la whtsap kakusifia kwa kuhonga mkuu eti ww huna mkono wa birika kala sana bata go n return za arusha kwa bombadier

I always take care of my women nxt time mkiwa huko kwny magrp muwe mnaongea mambo ya maendeleo jamani.

Kijana naona unafuatilia sana mambo yangu humu
 
Back
Top Bottom