Kama huna hela usioe pisi kali

Eeeh, sasa kama huyo mdosi ni faller kwa nini asipigwe hela?
 
We jidanganye, pisi ikikupenda itafanya vyote huku inalia. ikianza kuzingua unailoga isiondike. siwezi kukubali aisee yani pesa sina na pisi nipate mbovu kwahyo sisi wengine duniani tumekuja kupata vitu vibaya vibaya.
 
Hahaha mkuu toto moja la ki oman ataly sana na shule kaenda.
Mimuombe nini tena mungu mimi.
Mkuu demu akikuelewa kakuelewa t.
Na wanapendaga bila sababu hawa viumbe.
Anza kutafuta hela mapema mwanamme mzima kukili kuwa unalishwa na demu siyo sifa kuna kipindi utakuja na pipa la machozi humu.
 
Eeeeh pisi kali ni wadada wa kisukuma tu achana na hao kina nanii wa kukwambia kala sushi kumbe kapiga ugali dagaa

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Huwa nautaratibu wa kununua kila kitu cha mwezi mzima kuanzia mboga na vyakula.

Sa nikaanza relationship na ki-graduate kimoja chenyewe kinajifanya kwao mambo safi.

Kiakili kako vizuri tu na kanajitambua kimaisha.

Weakness yake ni kwenye misosi, mvivu kupika, anachojisikia kula kwa wakati huo ndio ukatafte regadless kipo ndani na kinaweza kupikwa au la;
Unakuta jioni kapika msosi fresh tu halafu badae anakuambia mi sijisikii kula hiki chakula nataka chips kuku au na mishikaki...heh maajabu

Nikaona isiwe kesi nikawa nanunua viazi hata ndoo nzima ili akisikia hamu akaange. Viazi vitaoza hapo wala hana mpango.

Vijana tuwe makini sana kwenye selection. Siko nae tena maana sio kwa nyodo zile. Mambo mengine yote yuko fresh ila hapo ndio balaa.
 
Mkuu na mimi nipo na binadamu wa aina hiyo na mbaya zaidi kanasa mimba, aisee ilibidi nimwambie tu ukweli aangalie biashara ya kufanya baada ya kujifungua nimfungulie siwezi kuishi na binadamu Aina yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…