SawaNitarudi baadae
Siamini sana katika dini utu kwangu ni kiigizo chemaTena ukienda huko ulizia wagonjwa ambao hawana ndugu. Ambao hawatembelewi sana. Huwa wana hamu sana ya kupata angalau mtu tu wa kuongea nao. Kuwatia moyo na kuwapa matumaini. Ni sehemu nzuri mno ya kupeleka sadaka hata kuliko kwa akina Mwamposa huko!
Na cha muhimu zaidi inakubariki zaidi wewe kuliko hata mgonjwa uliyemtembelea. Watu wanateseka sana mahospitalini huko. Wanapambania uhai wao. Wakati wewe uko mzima. Inakupa perspective fulani hivi kuhusu maisha na kukukumbusha mambo mengi. Kwamba sisi binadamu, hata turinge vipi, duniani hapa tunapita tu...na pengine yote ni ubatili. Very humbling.
Niliwahi kupata rafiki wa kweli kipindi fulani. Alikuwa ametelekezwa na ndugu zake wasio na uwezo. Oooh basi tukawa marafiki sana. Mpaka anazidiwa na kufariki tulipata muda wa kuagana. Huwa nafurahi kujua kwamba angalau alifariki akijua kwamba kuna mtu ambaye alikuwa anampenda na kumjali.
Mungu na Atusaidie ๐๐ฟ
View attachment 3022073
Uko sawa.Siamini sana katika dini utu kwangu ni kiigizo chema
Ni Ubatili na kujilisha Upepo.Tena ukienda huko ulizia wagonjwa ambao hawana ndugu. Ambao hawatembelewi sana. Huwa wana hamu sana ya kupata angalau mtu tu wa kuongea nao. Kuwatia moyo na kuwapa matumaini. Ni sehemu nzuri mno ya kupeleka sadaka hata kuliko kwa akina Mwamposa huko!
Na cha muhimu zaidi inakubariki zaidi wewe kuliko hata mgonjwa uliyemtembelea. Watu wanateseka sana mahospitalini huko. Wanapambania uhai wao. Wakati wewe uko mzima. Inakupa perspective fulani hivi kuhusu maisha na kukukumbusha mambo mengi. Kwamba sisi binadamu, hata turinge vipi, duniani hapa tunapita tu...na pengine yote ni ubatili. Very humbling.
Niliwahi kupata rafiki wa kweli kipindi fulani. Alikuwa ametelekezwa na ndugu zake wasio na uwezo. Oooh basi tukawa marafiki sana. Mpaka anazidiwa na kufariki tulipata muda wa kuagana. Huwa nafurahi kujua kwamba angalau alifariki akijua kwamba kuna mtu ambaye alikuwa anampenda na kumjali.
Mungu na Atusaidie ๐๐ฟ
View attachment 3022073
Asante kaka kwa post hii, haijaniacha ilivyonikuta๐Tena ukienda huko ulizia wagonjwa ambao hawana ndugu. Ambao hawatembelewi sana. Huwa wana hamu sana ya kupata angalau mtu tu wa kuongea nao. Kuwatia moyo na kuwapa matumaini. Ni sehemu nzuri mno ya kupeleka sadaka hata kuliko kwa akina Mwamposa huko!
Na cha muhimu zaidi inakubariki zaidi wewe kuliko hata mgonjwa uliyemtembelea. Watu wanateseka sana mahospitalini huko. Wanapambania uhai wao. Wakati wewe uko mzima. Inakupa perspective fulani hivi kuhusu maisha na kukukumbusha mambo mengi. Kwamba sisi binadamu, hata turinge vipi, duniani hapa tunapita tu...na pengine yote ni ubatili. Very humbling.
Niliwahi kupata rafiki wa kweli kipindi fulani. Alikuwa ametelekezwa na ndugu zake wasio na uwezo. Oooh basi tukawa marafiki sana. Mpaka anazidiwa na kufariki tulipata muda wa kuagana. Huwa nafurahi kujua kwamba angalau alifariki akijua kwamba kuna mtu ambaye alikuwa anampenda na kumjali.
Mungu na Atusaidie ๐๐ฟ
View attachment 3022073
Na miujiza ya wachungaji ielekezwe uko..huko ndiko sadaka zinatakiwa kutolewa