Kama huna huruma, utu na imani tembelea hospitalini

Annie X6

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2023
Posts
704
Reaction score
1,331
Leo ni ijumaa nisalimie kwa assalam alykum Jamii.
Ndg zangu hospitalini ndiko walipo wahitaji..watu wanataabika na kupata shida na taabu. Kuna wale wanaokosa imani au kukosa utu.

Wapo watu wanaringa na kusaza kwa kutojali maisha ya wengine. Nitarudi baadae
 
Tena ukienda huko ulizia wagonjwa ambao hawana ndugu. Ambao hawatembelewi sana. Huwa wana hamu sana ya kupata angalau mtu tu wa kuongea nao. Kuwatia moyo na kuwapa matumaini. Ni sehemu nzuri mno ya kupeleka sadaka hata kuliko kwa akina Mwamposa huko!

Na cha muhimu zaidi inakubariki zaidi wewe kuliko hata mgonjwa uliyemtembelea. Watu wanateseka sana mahospitalini huko. Wanapambania uhai wao. Wakati wewe uko mzima. Inakupa perspective fulani hivi kuhusu maisha na kukukumbusha mambo mengi. Kwamba sisi binadamu, hata turinge vipi, duniani hapa tunapita tu...na pengine yote ni ubatili. Very humbling.

Niliwahi kupata rafiki wa kweli kipindi fulani. Alikuwa ametelekezwa na ndugu zake wasio na uwezo. Oooh basi tukawa marafiki sana. Mpaka anazidiwa na kufariki tulipata muda wa kuagana. Huwa nafurahi kujua kwamba angalau alifariki akijua kwamba kuna mtu ambaye alikuwa anampenda na kumjali.

Mungu na Atusaidie 🙏🏿

Screenshot_20240621_115206_Samsung Internet.jpg
 
View attachment 3022073
Siamini sana katika dini utu kwangu ni kiigizo chema
 
"waweza kudhani kuwa
unaumwa kumbe
haujawaona wagonjwa
wenyewe,ukiwaona
wagonjwa wenyewe
utapona bila dawa"
Ambwene_misuli ya imani.
 
Tena ukienda huko ulizia wagonjwa ambao hawana ndugu. Ambao hawatembelewi sana. Huwa wana hamu sana ya kupata angalau mtu tu wa kuongea nao. Kuwatia moyo na kuwapa matumaini. Ni sehemu nzuri mno ya kupeleka sadaka hata kuliko kwa akina Mwamposa huko!

Na cha muhimu zaidi inakubariki zaidi wewe kuliko hata mgonjwa uliyemtembelea. Watu wanateseka sana mahospitalini huko. Wanapambania uhai wao. Wakati wewe uko mzima. Inakupa perspective fulani hivi kuhusu maisha na kukukumbusha mambo mengi. Kwamba sisi binadamu, hata turinge vipi, duniani hapa tunapita tu...na pengine yote ni ubatili. Very humbling.

Niliwahi kupata rafiki wa kweli kipindi fulani. Alikuwa ametelekezwa na ndugu zake wasio na uwezo. Oooh basi tukawa marafiki sana. Mpaka anazidiwa na kufariki tulipata muda wa kuagana. Huwa nafurahi kujua kwamba angalau alifariki akijua kwamba kuna mtu ambaye alikuwa anampenda na kumjali.

Mungu na Atusaidie 🙏🏿

View attachment 3022073
Ni Ubatili na kujilisha Upepo.
 
Siku za sikukuu mnatakiwa kwenda kuwaona wagonjwa kuna la kujifunza juu ya maisha , sio kwenda viwanja
 
Tena ukienda huko ulizia wagonjwa ambao hawana ndugu. Ambao hawatembelewi sana. Huwa wana hamu sana ya kupata angalau mtu tu wa kuongea nao. Kuwatia moyo na kuwapa matumaini. Ni sehemu nzuri mno ya kupeleka sadaka hata kuliko kwa akina Mwamposa huko!

Na cha muhimu zaidi inakubariki zaidi wewe kuliko hata mgonjwa uliyemtembelea. Watu wanateseka sana mahospitalini huko. Wanapambania uhai wao. Wakati wewe uko mzima. Inakupa perspective fulani hivi kuhusu maisha na kukukumbusha mambo mengi. Kwamba sisi binadamu, hata turinge vipi, duniani hapa tunapita tu...na pengine yote ni ubatili. Very humbling.

Niliwahi kupata rafiki wa kweli kipindi fulani. Alikuwa ametelekezwa na ndugu zake wasio na uwezo. Oooh basi tukawa marafiki sana. Mpaka anazidiwa na kufariki tulipata muda wa kuagana. Huwa nafurahi kujua kwamba angalau alifariki akijua kwamba kuna mtu ambaye alikuwa anampenda na kumjali.

Mungu na Atusaidie 🙏🏿

View attachment 3022073
Asante kaka kwa post hii, haijaniacha ilivyonikuta🙏
 
Hospitalini ni gereji ya binadamu; unavyoenda gereji ya magari na kukuta magari yaliyochakaa, ni hivyo hivyo kwa binadamu akiwa hospitalini. Na wote tutapitia huko, tuishi tukijua na sisi tutaenda huko.​
 
Back
Top Bottom