Kama huna Milioni 30 usimtafute Mc Gara B kwenye sherehe yako

Kama huna Milioni 30 usimtafute Mc Gara B kwenye sherehe yako

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
MC Gara B anasema ili aje afanye kazi nzuri kwenye sherehe yako basi ubaoni andaa Milioni 30.

Kwako mwalimu kashasha…

IMG_4234.jpeg
 
MC Gara B anasema ili aje afanye kazi nzuri kwenye sherehe yako basi ubaoni andaa Milioni 30.

Kwako mwalimu kashasha…View attachment 3147172
Be MATURED hata kidogo please. Hata kama ni kutafuta comments SIO hivi.
ALIULIZWA HIVI:Ili Sherehe iwe nzuri inahitaji budget kiasi gani??
Ndio akasema kama sherehe itakuwa angalau na watu 200 inahitaji total cost ya Sherehe iwe 30M kwa maana ya ku cover kila KITU. Na akalezea venue set up, buffet set-up, n.k nk.... it's very reasonable kwa kuwa ukichukua wastani (Average) ya wageni 200 kwa 30M maana yake kila invitee amechanga 150K which is reasonable.

Sina any interest na GaraB lakini Kuna immaturity ya hawa Gen Z humu jukwaani Ina undermine JF.
 
Watu 200 evarage ya kila mtu atumie elfu 20 (elfu 10 chakula ,elfu 10 vinywaji) itacost 2m.

MC laki 5 tu

Mziki laki 3

Logistic 1m ,coaster nne.

Honey money hotel zanzibar laki 2 per day ,unakaa siku 5 ,Total 1m and extra 1m. (2m)

Ukiwa na 7m unafanya harusi vizuri tu ,hiyo 30m break down ikoje?
 
Keki

Peke milion kumi ukumbi 10M Mc 3, milion saba chakula
 
Back
Top Bottom