Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Umeeleweka vyema Mheshimiwa Diwani wa Kibamba.Sema inafika muda sasa hizi media wajue kama wanaweza kuuwa brand ambayo mtu amejenga kwa kitambo. Hakusema hivyo, alisema ili sherehe yako inoge at least iwe na bajeti ya 30m
Kama ni hivyo basi....Sema inafika muda sasa hizi media wajue kama wanaweza kuuwa brand ambayo mtu amejenga kwa kitambo. Hakusema hivyo, alisema ili sherehe yako inoge at least iwe na bajeti ya 30m
Be MATURED hata kidogo please. Hata kama ni kutafuta comments SIO hivi.MC Gara B anasema ili aje afanye kazi nzuri kwenye sherehe yako basi ubaoni andaa Milioni 30.
Kwako mwalimu kashasha…View attachment 3147172
Hata angetoa 0 mwisho, bado nisingempa. Sherehe ni kula na kunywa, tukilewa wala huwa hatuhitaji kujua umahiri wa MCWanaongezaga 0 mbele
Peke milion kumi ukumbi 10M Mc 3, milion saba chakulaWatu 200 evarage ya kila mtu atumie elfu 20 (elfu 10 chakula ,elfu 10 vinywaji) itacost 2m.
MC laki 5 tu
Mziki laki 3
Logistic 1m ,coaster nne.
Honey money hotel zanzibar laki 2 per day ,unakaa siku 5 ,Total 1m and extra 1m. (2m)
Ukiwa na 7m unafanya harusi vizuri tu ,hiyo 30m break down ikoje?