Kama huna Milioni 30 usimtafute Mc Gara B kwenye sherehe yako

Ukumbi je,au utafanyia barabarani?
 
Nadhani alimaanisha bajeti ya harusi nzima na sio pesa anayolipwa yeye binafsi. Ila tu social media managers wa clouds wakaona watengeneze title ya kufanya post iende mjini
Kama ni hivyo mbona wanamuwekea kauzibe jamaa, M30 sio mchezo kwa MC pekee
 
Dunia hii, haina usawa! Juzi Jumamosi, tulikuwa na harusi Mkoa mmoja kanda ya ziwa. Jumla ya michango ilikuwa 14M.
Zawadi tulitoa 3M. Mc tulimlipa 350,000/=Ukumbi 1,200,000/=. Tulikuwa na watu 246.
Watu walikula, kunywa na kusaza. Kupanga, ni kuchagua. Gharama zingine, ni za kujitakia!

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo dogo ameongeza chumvi? Mjinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…