Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Dada unapambana sana.Biashara zote zinahitaji nidhamu ya pesa
Dada unapambana sana.Biashara zote zinahitaji nidhamu ya pesa
Kuna: HighUjuaji mwingi......
Usipokuwa na nidhamu ya pesa kamwe hutofanikiwa!!
Biashara gani haiitaji nidham ya pesa ? Yani uwe unatumia hovyo tu ? Msikariri eti ni duka la mangi tu
Wewe Tate hata nikikueleza ninachofanya haitakuongezea kitu kwenye maisha yako. Wewe endelea kupambania uchawa wako kwa Lissu na Heche uliowakabidhi akili.
Asanteni kwa taarifa
Ni kweli, umaskini wetu mwingi ni wa kujitakiaJaribu kuzalisha uone. Maafisa TRA watafikishia malengo ya kodi kwako.
Asante sanaDada unapambana sana.
Mfano pesa za kutoa huduma,mfano kama maabara,saloon,usafirishajiBiashara Gani haihitaji nidhamu ya pesa