Usidhanie tupia mbadala wa huo 'ukweli unaoudhania'.Hii story sidhani kama inaukweli wowote
Mkuu,ukiona kiasi fulani cha fedha hakina ulazima Sana wakuzungushia kwenye biashara zako,nunua madini uyahifadhi eg.dhahabu.madini yanapanda bei kila leo,hayaozi,hayabunguliwi na wadudu,hayana garama kuyatunza.ninamiaka mitano sijawahi kupeleka fedha bank
Mkuu,ukiona kiasi fulani cha fedha hakina ulazima Sana wakuzungushia kwenye biashara zako,nunua madini uyahifadhi eg.dhahabu.madini yanapanda bei kila leo,hayaozi,hayabunguliwi na wadudu,hayana garama kuyatunza.ninamiaka mitano sijawahi kupeleka fedha bank
Bank gani hiyo Mkuu, tupeleke evidence BoT? TRA wana habari na transactions hizo? Wasichezee sharubu za Simba!Kuweka pesa benki ni woga wa maisha. Pesa inatunzwa kwa kununua mali, mifugo na kuwakopesha maskini waizalishe.
Taja mfano mmoja tu wa bankAkina sisi ukishawishiwa ufungue akaunti ujue utaibiwa na hutojua kirahisi na hutopata mtetezi.Mfano una akaunti ina laki moja wakati unatafuta nyengine upeleke eti uambiwe una pesa benki basi baada miezi kama mitatu itakuwa wameshazipunguza pakubwa na mwezi unaofuata wanafunga akaunti kabisa.Ukirudi kuuliza unaambiwa ile imeshafungwa labda ufungue nyengine leo leo itakuwa tayari.
....We Should Bear it...!![emoji846]Kilaa kitu kinafaida na hasara so we should bare it
Kuweka pesa benki kuna umuhimu sana, kwa mfano unapotaka kufanya manunuzi ya pesa ndefu mfano kununua nyumba, ardhi au gari, hauwez kufanya hayo bila benk labda kama unataka kutapeliwa na kuingia kwenye mikono ya majambazi wakati wa kukabidhiana hyo pesa!Kuweka pesa benki ni woga wa maisha. Pesa inatunzwa kwa kununua mali, mifugo na kuwakopesha maskini waizalishe.
Wakati wa kununua hayo madini unatumia njia gani kulipa hiyo pesa! Bila benki hao wanaokuuzia madin hawawez kukuzunguka ukapolwa hzo pesa!Mkuu,ukiona kiasi fulani cha fedha hakina ulazima Sana wakuzungushia kwenye biashara zako,nunua madini uyahifadhi eg.dhahabu.madini yanapanda bei kila leo,hayaozi,hayabunguliwi na wadudu,hayana garama kuyatunza.ninamiaka mitano sijawahi kupeleka fedha bank