JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,201
Kutokana na andiko hili naweza kufupisha kuwa: 'benki ni kwa ajili ya usalama wakati wa kutuma au kupokea pesa' tu! Nje ya hapo, usilaze pesa benki.Kuweka pesa benki kuna umuhimu sana, kwa mfano unapotaka kufanya manunuzi ya pesa ndefu mfano kununua nyumba, ardhi au gari, hauwez kufanya hayo bila benk labda kama unataka kutapeliwa na kuingia kwenye mikono ya majambazi wakati wa kukabidhiana hyo pesa!