Kama huna pesa nyingi weka ndani, benki zinaiba kimya kimya

Kutokana na andiko hili naweza kufupisha kuwa: 'benki ni kwa ajili ya usalama wakati wa kutuma au kupokea pesa' tu! Nje ya hapo, usilaze pesa benki.
 
Kutokana na andiko hili naweza kufupisha kuwa: 'benki ni kwa ajili ya usalama wakati wa kutuma au kupokea pesa' tu! Nje ya hapo, usilaze pesa benki.
Ni kweli kabisa.Na ni ushauri mwema sana.Benki watumie wale walionazo nyingi na hao ambao huwa wananunua na kuuza kila leo na wenye uwezo wa kuona na kuchapisha miamala yao wakaweka kwenye faili.Vyenginevyo huwezi kutajirika au kukushanya pesa ikawa nyingi kwa kuiweka benki.Wanakula .
 
NAUNGA MKONO HOJA BENKI ZETU TZ SIYO RAFIKI WA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI NA KATI. BENKI HIZI ZIPO KWA AJILI YA SERIKALI NA MATAJIRI WAKUBWA.
TUIMARISHE SACCOS NA AMCOS NA VICOBA, NK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…