White drone
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 201
- 386
Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu unamtafuta aidha kwa kumpigia, kwa text au whatsapp lakini mtu hatoi ushirikiano. Kama unajijua wewe ni mgumu kwanini utoe namba kirahisi? Mnatukatisha tamaa, mm binafsi kuanzia leo siombi namba ya mwanamke yeyote mahali popote!!