KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu unamtafuta aidha kwa kumpigia, kwa text au whatsapp lakini mtu hatoi ushirikiano. Kama unajijua wewe ni mgumu kwanini utoe namba kirahisi? Mnatukatisha tamaa, mm binafsi kuanzia leo siombi namba ya mwanamke yeyote mahari popote!!
Unakata Tamaa haraka
 
Namba haziombwi siku hizi masta, tafuta hela kwa wivu mkubwa sana!" Atajileta mwenyewe
 
Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu unamtafuta aidha kwa kumpigia, kwa text au whatsapp lakini mtu hatoi ushirikiano. Kama unajijua wewe ni mgumu kwanini utoe namba kirahisi? Mnatukatisha tamaa, mm binafsi kuanzia leo siombi namba ya mwanamke yeyote mahari popote!!
Achana na hao wee ingia badoo timder wakukupa namba ujue tayari
 
Back
Top Bottom