KAMA HUTAKI KUTOA USHIRIKIANO KWANINI UNATOA NAMBA?

White drone

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2023
Posts
201
Reaction score
386
Niende moja kwa moja kwenye mada, siku hizi kupata namba za simu za mwanamke imekuwa ni jambo rahisi sana bila kujali mazingira mnayokutana. Changamoto inaanzia baada ya kupata hiyo namba mtu unamtafuta aidha kwa kumpigia, kwa text au whatsapp lakini mtu hatoi ushirikiano. Kama unajijua wewe ni mgumu kwanini utoe namba kirahisi? Mnatukatisha tamaa, mm binafsi kuanzia leo siombi namba ya mwanamke yeyote mahali popote!!
 
Mtumie ka elfu hamsini uone kama ata-mute
 
Jicho la mweweee ILO kaona mbali Binti wa watu
 
Mimi hilo jambo limekua likinitatiza sana utakuta mwanamke kaolewa anatoa no kizembe kwa mtu ambaye hata hawajawah kuonana na hakuna uhusiano wowote huo ni umalaya jirekebisheni
 
Embu anza na miamala alfu tuone🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…