Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu kama huyo anajiamin akikwambia nakupenda haina haja ya kumzungushaaBro naye ulimtetemesha
Watu wengine haina haja hata ya kuwazungusha,ni kukubali hapo hapoMtu kama huyo anajiamin akikwambia nakupenda haina haja ya kumzungushaa
Wale mapopomaa ndo tunaowazungushaa
Kwanza lazima utetemeke kidogoo kuna wanaume wengine ukiwazungusha unapata laana bureWatu wengine haina haja hata ya kuwazungusha,ni kukubali hapo hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee mapopoma! Hivi ni true mortuary attendant
Hakunaa yan kama unachezaa Game tuUkizoea mitongozo one out of 100 utakuingia!
Nimesahau swaliiiAnswer please madam
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] AiseeeUnakuta mdada mzuri kabisa anasema yeye haitaji mwanaume Wa jf ila pm yake iko wazi 24\7
Yaani wewe dada umeniudhi sana!
Poleee sana maana ningekudanganyaaa tuUwa naandika hlf nafuta pm kwako,mambo ya kurogana nayaogopa sana,nisije tolewa kishipa bure
Mondray msalimie paprikaaaSepetu my dear ndo buku saba yangu ya bodaboda ukala na getoni hukufika kabisa..
Sio vzr bora ungesema unashida na hela ya chips + pedi
Naomba uniruhusu nije pm DMondray msalimie paprikaaa