Ngoja niamke hapa kwa shemeji yangu nikatafute mkate wangu kiwanda cha Rasta buguruniiHii sio kejeli
Hii ni wake up call
Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
Uzuri usingizi unakuja popoteKwani kulala pamoja na madumu hupati usingizi
PointUnataka nirudi nyumbani nikawaue wazee kwa presha waliamini katika elimu wakauza mashamba wakauza mifugo nisome tu sasa nimehitimu elimu ya juu yale mashamba waliotegemea tulime tupate chakula cha kuuza na kutunza mwaka mzima hawana waliuza kwa ajiri yangu ile mifugo ng'ombe na mbuzi na zile kuku zilizotusaidia nyumbani tukipatwa na dharula ya magonjwa nk walishauza kwa ajiri yangu na nguvu zimewaishia mategemeo yote kwangu leo hii nirudi mikono mitupu nitie huruma mbele yai si watakufa acha nikae uku mbali japo niwafariji kwa sm na elfu tano tano nazotuma kwa mangi wanapokopa sukari na sabuni mangi kaamini wazazi wanamtoto wao mjini na huwa natuma elfu tano kumi awape mahitaji talipa
napenda kwenda nyumbani naogopa kuuwa wazazi
Maisha Mazuri sio swala la utajiriUtajiri sio wa kila mtu elewa hilo.
Mkuu kwani wewe unalala vyumba mingapi?Hii sio kejeli
Hii ni wake up call
Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
Komaa cha msingi tusiibe tu vya watu maana tukienda jera wale wazee ndio watakufa ila hizi buku mbili mbili tuwatumie wanabless sana kuziona ipo sikuPoint
Huyo mtu anadharau kifupi hafai basi tu! Anaongea kwa kukurupuka sana na ukute ni UVCCM mmoja ivi shenzi kabisa. Muulize historia ya Gwajima acha kukatisha watu tamaa kenge mmoja wewe!Kwanini warudi wakati sii tegemezi kwako.
Mimi nadhani inapaswa kuwaambia wale wanaokutegemea lakini kama mtu humlishi humvishii ni bora uachane nao uangalie maisha yako.
mtoa maada ndo asipangie watu jinsi ya kuishi mafanikio huja kwa wakati wake kama yeye kafanikiwa ndani ya mwaka mmoja asizani kila mutu itatokea hivyo amshukuru mungu kwa kumfanyia wepesiUzuri usingizi unakuja popote
Nikukumbushe kuwa ule uzi wa shosti wako umefutwa au nikuache😊😊😊😊ngoja waje
Historia ya ISAYA YUNGE, Kijana wa nyehunge ,magu , mwanza ambae ameposa mtoto wa raisi wa Kenya ndugu wiliamu RutoHuyo mtu anadharau kifupi hafai basi tu! Anaongea kwa kukurupuka sana na ukute ni UVCCM mmoja ivi shenzi kabisa. Muulize historia ya Gwajima acha kukatisha watu tamaa kenge mmoja wewe!
Ndugu zako wote wanaishi kwenye majumba ya kifahari?Hii sio kejeli
Hii ni wake up call
Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.