Kama huu ni mwaka wa 6 wa kujitegemea dsm na bado unalala chumba kimoja na madumu ya maji na mengine hadi ndio umeegeshea sabufa, rudi tu malampaka.

Afadhali hao wanaolala na madumu, mm mwaka wa 10 huu bado nakaa kwa shangazi na nna miaka 43
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ