Kama huwezi kudeal na wanawake zaidi ya mmoja, pambana na huyo huyo!

Kama huwezi kudeal na wanawake zaidi ya mmoja, pambana na huyo huyo!

Mkuu mbona kama katika Uzi wako unatufokea hivi........
Yani unauliza kwanini chumvi inataste kama chumvi? Hii lazma mtu apewe za utosi maanake...ni sawa na mwananume kumvurugia mwanaume mwenzie maisha....especially kama una watoto wa kiume....iyo ni bro code gani unawafundisha. Kwa sababu men learn to be men from their fathers....inabidi watu wafokewe hapa ivi...hapana ambiwa pole pole! Kwani we ni Humphrey?
 
Fokea huyo bwanaaako ambaye hana akili acha kutuchanganya wanaume wenye tuko sawa
Nyi ndio wale kina Isihaka mkiambiwa ukweli mnajidai wakaaaaaali...kumbe nyegere!!! Boss...tumia kichwa cha akili, na sio pande iyo ingine...

Pia umenivunjia bonge la respect...ila haidhuru...lazma darasani kuna ule anashkaga mkia!!! Tatizo wewe hata sio kushika tu, unatumia mkia.
 
Haki lazima itendeke mbona una rebel sana? Wenzako washakubaliana na hili swala
Walaa sijarebel
Mi ni supporter wa huo mfumo
Mtihani wangapi mnawatendea haki?
Mbona malalamiko na vita baina ya mke mkubwa na mdogo
Kisa mtu anapunjwa kitu flani wkt mwingine anapendelewa
 
Walaa sijarebel
Mi ni supporter wa huo mfumo
Mtihani wangapi mnawatendea haki?
Mbona malalamiko na vita baina ya mke mkubwa na mdogo
Kisa mtu anapunjwa kitu flani wkt mwingine anapendelewa
Baaaaaas!!! Hiyo ndo nataka waelewe hawa. Kama unataka wengi, rhuksa...ilimradi wote wawe sawa!!! Au namna gani?
 
Baaaaaas!!! Hiyo ndo nataka waelewe hawa. Kama unataka wengi, rhuksa...ilimradi wote wawe sawa!!! Au namna gani?
Yaap
Huyu ana cheti cha ndoa na yule awe nacho
Huyu ana kwake na yule iwe hivyo
Huyu ana wanae na yule mpe watoto

Matumizi unatoa huku na kule utoe
Km ni vacation ujipange kote zamu

Siku za kukaa nao upange zamu pia 3/3 au 3/4
We ndio Mume
Wela usawa na wote wajue
Short of that hutendi haki

Haya niambie wanaume wangapi wanatekeleza haya?

Vita hazitakaa ziishe..hakuna mwanamke anapenda kuwa ignored
 
Back
Top Bottom