FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
- Thread starter
-
- #21
Yani unauliza kwanini chumvi inataste kama chumvi? Hii lazma mtu apewe za utosi maanake...ni sawa na mwananume kumvurugia mwanaume mwenzie maisha....especially kama una watoto wa kiume....iyo ni bro code gani unawafundisha. Kwa sababu men learn to be men from their fathers....inabidi watu wafokewe hapa ivi...hapana ambiwa pole pole! Kwani we ni Humphrey?Mkuu mbona kama katika Uzi wako unatufokea hivi........
Wanaume au wanawake?Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Kama unaweza kufunga hat trick, ya nini ujinyime? Wengine wawe mapadri....🤣🤣🤣🤣Kuwa na mke zaidi ya mmoja ni ulafi huo jamani,sasa wewe una wake watatu,wengine waoe Nini!??
Nyi ndio wale kina Isihaka mkiambiwa ukweli mnajidai wakaaaaaali...kumbe nyegere!!! Boss...tumia kichwa cha akili, na sio pande iyo ingine...Fokea huyo bwanaaako ambaye hana akili acha kutuchanganya wanaume wenye tuko sawa
Haki lazima itendeke mbona una rebel sana? Wenzako washakubaliana na hili swalaHao wengi unawatendea haki au unasumbua watoto wa watu?.
Asante maana nilishindwa nimjibu niniTomato, tometo...kinaeleweka bado.
NakaziaKuwa na mke mmoja ni ulemavu
Walaa sijarebelHaki lazima itendeke mbona una rebel sana? Wenzako washakubaliana na hili swala
Baaaaaas!!! Hiyo ndo nataka waelewe hawa. Kama unataka wengi, rhuksa...ilimradi wote wawe sawa!!! Au namna gani?Walaa sijarebel
Mi ni supporter wa huo mfumo
Mtihani wangapi mnawatendea haki?
Mbona malalamiko na vita baina ya mke mkubwa na mdogo
Kisa mtu anapunjwa kitu flani wkt mwingine anapendelewa
YaapBaaaaaas!!! Hiyo ndo nataka waelewe hawa. Kama unataka wengi, rhuksa...ilimradi wote wawe sawa!!! Au namna gani?
Wapo wasiotenda haki lakini hao sio kigezo cha kujustify huo mfumo kama ni mbayaWalaa sijarebel
Mi ni supporter wa huo mfumo
Mtihani wangapi mnawatendea haki?
Mbona malalamiko na vita baina ya mke mkubwa na mdogo
Kisa mtu anapunjwa kitu flani wkt mwingine anapendelewa
Wasiotenda haki ndio wengi zaidiWapo wasiotenda haki lakini hao sio kigezo cha kujustify huo mfumo kama ni mbaya