Kama huyo mkeo hujamkuta bikra fukuza huyo mzinzi

Kama huyo mkeo hujamkuta bikra fukuza huyo mzinzi

Wewe unaongelea bikra wakati watu humu wameoa wake waliowakuta na watoto wawili kila mtoto na baba yake. Inamaana huyo mke ametembea na watu zaidi ya wawili lkn wanaishi na kuheshimiaana vzr.
 
Duh hii sio poa. Tukifuata huu ushauri wako itabidi dunia iumbwe upya tuanze moja.
 
Wewe unaongelea bikra wakati watu humu wameoa wake waliowakuta na watoto wawili kila mtoto na baba yake. Inamaana huyo mke ametembea na watu zaidi ya wawili lkn wanaishi na kuheshimiaana vzr.
sio mimi ni kauli za vijana wa kisasa hebu, washauli wafukuze hao wake zao waanze upya
 
Fukuzia kwa jirani umuone mzinzi wako akinawiri.
 
Ukweli mchungu sana huu!...ni kweli wengi tumeoa mademu za watu na wengi wanaendeleza mahusiano yao ya awali angali wako ndoani!!pamoja na ukwel huu timilifu,hatuwafukuz wake zetu ng'oo!
 
mbona kwenye nyuz za fukuza msaliti mpo namba moja kutoa matamko, ya kwamba mzinz havumiliki vp leo mmepatwa na nini?? Mi nimetoa tu kanuni na adhabu kwa mwenye kustail hy adhabu
TUSOME MAJIBU YA YESU KRISTO ALIPOLETEWA MASHTAKA DHIDI YA MWANAMKE MZINIFU KATIKA BIBLIA (INJILI YA YOHANA 8:3-11)

[3]Waandishi na Mafarisayo wakamletea mwanamke aliyefumaniwa katika uzinzi, wakamweka katikati.

[4]Wakamwambia, Mwalimu, mwanamke huyu amefumaniwa alipokuwa akizini.

[5]Basi katika torati, Musa alituamuru kuwapiga kwa mawe wanawake namna hii; nawe wasemaje?

[6]Nao wakasema neno hilo wakimjaribu, ili wapate sababu ya kumshitaki. Lakini Yesu akainama, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

[7]Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe.

[8]Akainama tena, akaandika kwa kidole chake katika nchi.

[9]Nao waliposikia, wakashitakiwa na dhamiri zao, wakatoka mmoja mmoja, wakianzia tangu wazee hata wa mwisho wao; akabaki Yesu peke yake, na yule mwanamke amesimama katikati.

[10]Yesu akajiinua asimwone mtu ila yule mwanamke, akamwambia, Mwanamke, wako wapi wale washitaki wako? Je! Hakuna aliyekuhukumu kuwa na hatia?

[11]Akamwambia, Hakuna, Bwana. Yesu akamwambia, Wala mimi sikuhukumu. Enenda zako; wala usitende dhambi tena.
 
Kuna vitu vinatafakarisha sana hasa ukiwafikiria vijana wanavyodai na kumchukia mwanamke msaliti, sasa tuweke sawa, ni hivi kuna baadhi ya wanaume tunasemaga, ukimkuta mkeo kakusaliti au ana dalili za usaliti fukuza!! Hapa ieleweke kwamba anaetakiwa kumfukuza mkewe andapo amemkuta kamsaliti ni yule mwanaume ambaye alimkuta/umemkuta mke wako bikra, yaani hajawahi kufanya mapenzi,, ila kwa mwenzangu na mimi kama hujamkuta mke wako bikra, na ukajiunga kwenye msafara wa mamba na wakati wewe kenge mwenzangu hebu fukuza. kabla hata hajakusaliti maana unaishi na mzinzi sugu, tena mke wa mtu na wewe unaridhi dhambi ya uzinzi hebu fukuzaa asije akaleta mikosi ndio mana nyumba kila day ugomvi mara kakunyima, mara kakununia, matatizo yote ya nini fukuzaa kama bwai iwe bwai fukuzaaaa simmeamua hamtaki usaliti sasa hujamkuta bikra huo si usaliti au mnaongeleaga usaliti gani? Hebu Fukuzaa
Naam Darlin
 
Na ukijua ni Mtumba Basi jishushe uwe mpole uache kutafuta kumpamda mumeo kichwani.
Ujeuri na mashindano na Mwanaume yanini ambae ukute ndio tegemeo lako?
 
Hivi watu wanajua kuwa bikra hutoka hata kwa kuendesha baiskeli tu?
 
Acha gubu mbona baba ako hajamfukuza mama yako? 😹😹😹
 
Back
Top Bottom