Kama huyu ndio msimamizi wa Uchaguzi basi tusubirie maumivu

Kama huyu ndio msimamizi wa Uchaguzi basi tusubirie maumivu

Labda kama unafaidika na System lakini kumbuka wakati Lema anasema Magufuli atakufa watu kama wewe mlipinga sana na kumkejeli Lema sijui kama unakumbuka lakini?!😂
Utakufa. Unapinga?
 
Muda umekaribia sana wa anguko kuu la CCM hizi ni dalili tu😆😂

Kujifanya umekasirika na kwamba uko radhi kuua na kupoteza hakusaiidii chochote 😁
Bila ya katiba mpya mtaendelea hivyo hivyo kusema anguko la CCM na wao wanaendelea kutawala.

Kina MwigulU tayari wanaandaa matoto yao yaje kutawala kupitia CCM.
 
Back
Top Bottom