Kama huyu ndio msimamizi wa Uchaguzi basi tusubirie maumivu

N
Muda umekaribia sana wa anguko kuu la CCM hizi ni dalili tu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚

Kujifanya umekasirika na kwamba uko radhi kuua na kupoteza hakusaiidi
Tuamini unaota ndoto za mchana
 
Labda kama unafaidika na System lakini kumbuka wakati Lema anasema Magufuli atakufa watu kama wewe mlipinga sana na kumkejeli Lema sijui kama unakumbuka lakini?!๐Ÿ˜‚
Utakufa. Unapinga?
 
Muda umekaribia sana wa anguko kuu la CCM hizi ni dalili tu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚

Kujifanya umekasirika na kwamba uko radhi kuua na kupoteza hakusaiidii chochote ๐Ÿ˜
Bila ya katiba mpya mtaendelea hivyo hivyo kusema anguko la CCM na wao wanaendelea kutawala.

Kina MwigulU tayari wanaandaa matoto yao yaje kutawala kupitia CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ